Davido Ďě real Cartoon

Davido Ďě real Cartoon I like music �, ball games, comedy etc.
Ďě joker, Villager robot, tiktak man of words

Mbona hamjai niuliza nadate nani, ama mnajua tuu siezani na mapenzi😂
04/04/2025

Mbona hamjai niuliza nadate nani, ama mnajua tuu siezani na mapenzi😂

Nimejiangalia kwa kioo walai nitaishi kulaumu wazazi wangu juu sura nimeona apo siamini ni yangu😏😏Follow DaDavido Ďě rea...
01/04/2025

Nimejiangalia kwa kioo walai nitaishi kulaumu wazazi wangu juu sura nimeona apo siamini ni yangu😏😏

Follow DaDavido Ďě real CartoonkwatyaUwaku

30/03/2025

Wenye mnasema MAN U ni team ya wamama..., mama zenu wanacheza number gani...??

Kuingia illuminate ni pesa gapi mtu akiwa na mapepo zake?
29/03/2025

Kuingia illuminate ni pesa gapi mtu akiwa na mapepo zake?

Unapeleka dem date anaenda kupost chakula badala akupost😂😂💔
28/03/2025

Unapeleka dem date anaenda kupost chakula badala akupost😂😂💔

Shout out to my newest followers! Excited to have you onboard! Clawze Kilaz, Caxton Mutisya, Crispo Musyoka, Samrayz Mut...
05/02/2025

Shout out to my newest followers! Excited to have you onboard! Clawze Kilaz, Caxton Mutisya, Crispo Musyoka, Samrayz Mutuz, Peter Mulei, Mwaki Mumosu, Faizel Mwende, Shaaz Sharma, Derrick Onesmus mnitafute mkunywe kasoda na mpate gifts zenu..., thank you guys

Kumbe kuishi solo ni tamu ivi....., sai najikuna makende na kisu 🤦😂😂Follow DavDavido Ďě real Cartoon Davido Ďě real Cart...
27/01/2025

Kumbe kuishi solo ni tamu ivi....., sai najikuna makende na kisu 🤦😂😂

Follow DavDavido Ďě real Cartoon Davido Ďě real CartoonaDavido Ďě real CartoonrDavido Ďě real Cartoon

06/01/2025

Kuna tofauti ya natural na man made
Think deep

Doctor: Kijana uko na ukimwiMe: Sikuwa nataka ukimwi..!!!Doctor: Ulikuwa wataka nini?Me: nilikuwa nataka malaria...Docto...
06/01/2025

Doctor: Kijana uko na ukimwi

Me: Sikuwa nataka ukimwi..!!!

Doctor: Ulikuwa wataka nini?

Me: nilikuwa nataka malaria...

Doctor: Pole kumbe ata haya matokeo na vipimo si zako

Me: Ni za nani?

Doctor: Ni za Doris.

Me: 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Doctor: Umecheka nini..?

Me: Doris ni Ex wangu na aliniacha kwa madharau ju ya mwanaume mwingine😂😂😂😂😂😂😂😂

Doctor: 🙁😏🤔🚶‍♂️🚶‍♂️🚶‍♂️

Follow Davido Ďě real Cartoon share and comment love u my fanDavido Ďě real CartoonpDavido Ďě real CartoonnDavido Ďě real CartoonDavido Ďě real Cartoon@topfans

02/01/2025

I want a son. I don't care whether male or female. I just want my first daughter to be a boy😀😀

24/12/2024

Shout out to my newest followers! Excited to have you onboard! Riddy Kim Lydia, Paul Ca Boss, Jose Mwende, Nash KE, Ma Alma Tito, Lizzh Waeni

Address

Ikutha
Kitui

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Davido Ďě real Cartoon posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share