
28/08/2025
"Wakenya mna tabia za kihayawani na sijapendezwa nazo. Sasa mbona mnaendelea kunitukana wakati tayari nimeshaomba msamaha.
Kwani mnataka nifanye nini ndio mnisamehe. Jamani tubishane kwa hoja, hamna haja ya kuniharibia maisha yangu sababu ya kosa ndogo ambalo tayari nimeomba msamaha"~ Aisha Feruzy cries to Kenyans for forgiveness