14/11/2025
Kila safari inachangamoto zake muhimu ni kuwa na malengo na juhudi za kuyafikia malengo yako.
Ushirikiano na nidhamu ni nguzo kuu katika sanaa ya mziki ndiposa Perform Music Incubator wanatueleza mafunzo haya ili kuboresha sekta hii.