JAC FM 106.2

JAC FM 106.2 A community radio station in Kwale, dedicated to empowering indigenous communities through quality broadcasting. licensed by Com. Authority of kenya.
(1)

We inform, educate, and inspire with reliable news and cultural preservation. JAC FM 106.2-NguzoYaJamii

19/09/2025

Mazungumzo na Hazina Sacco Society Limited

Visiwa vya Raha 7pm - 10pm ukiwa na Da Siti , unategea ukiwa Wapi?Studio line 0114295974
18/09/2025

Visiwa vya Raha 7pm - 10pm ukiwa na Da Siti , unategea ukiwa Wapi?
Studio line 0114295974

Karibu katika kipindi chetu cha   ukiwa nami: #  Mwamashango. Je Kwa kumbukumbu zako toka uzaliwe hadi kukomaa kwako na ...
18/09/2025

Karibu katika kipindi chetu cha ukiwa nami:
# Mwamashango.
Je Kwa kumbukumbu zako toka uzaliwe hadi kukomaa kwako na kuanza kuingia katika swala la uchaguaji wa viongozi ,je ni agenda gani unaona tangu uanze kupiga kura Kwa maisha yako inajirudia Kwa kila kiongozi anayetafuta uongozi.
# # ujumbe # #0114295974

# # Mtizamo wa wana
# ya kitaa

18/09/2025

Ulikuwa yule mchekeshaji wa darasa, kipenzi cha walimu, au last minute crammer??

Unategea ukiwa Wapi  # mitikisiko Ya Pwani ukiwa na daa Aisha soza na princess Fatma jamal # kaa Kwa kutulia tujiachie p...
18/09/2025

Unategea ukiwa Wapi # mitikisiko Ya Pwani ukiwa na daa Aisha soza na princess Fatma jamal # kaa Kwa kutulia tujiachie pamoja

18/09/2025

Hivi ni sawa nyinyi k**a
Wazazi kulala chumba kimoja na watoto??

17/09/2025

Jinsi Ya Kuwahusisha Walemavuu kwenye masuala ya umma: Mwalim Ali

Unaskiliza   Ukiwa wapi? Mdau tusemezane pamoja, "Wakati ulipokuwa uko katika harakati za kutafuta mchumba, ni kitu gani...
17/09/2025

Unaskiliza Ukiwa wapi?
Mdau tusemezane pamoja,

"Wakati ulipokuwa uko katika harakati za kutafuta mchumba, ni kitu gani ambacho mwenzako alikisema ukagundua k**a hapa hapana ndoa?

Kauli Yako

JAC FM 106.2
Abdul Muzamil Kidato

Unategea ukiwa Wapi  # mitikisiko Ya Pwani ukiwa na princess Fatma na Aisha soza
17/09/2025

Unategea ukiwa Wapi # mitikisiko Ya Pwani ukiwa na princess Fatma na Aisha soza

Unategea mikikimikiki ukiwa wapi?  Nzomoo 10AM-1PM 0114295974
17/09/2025

Unategea mikikimikiki ukiwa wapi?
Nzomoo
10AM-1PM
0114295974

((ON AIR 🚨🚨)) MITIKISIKO YA PWANI 1PM - 4PM UKIWA NA PRINCESS FATHMA NA DAA Aisha Soza .Unategea ukiwa wapi?📩☎️ 0114 295...
16/09/2025

((ON AIR 🚨🚨)) MITIKISIKO YA PWANI 1PM - 4PM UKIWA NA PRINCESS FATHMA NA DAA Aisha Soza .

Unategea ukiwa wapi?

📩☎️ 0114 295 974

106.2

16/09/2025

Request hour ungependa
Kuchezewa kibao Gani??

Address

Kwale
80403

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when JAC FM 106.2 posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share