RADIO KAYA

RADIO KAYA The No. 1 radio station in the coast of Kenya. www.radiokaya.co.ke
(215)

Kenya inajiunga na mataifa mengine ulimwenguni kuadhimisha siku ya mazingira duniani.
05/06/2026

Kenya inajiunga na mataifa mengine ulimwenguni kuadhimisha siku ya mazingira duniani.

Je, teknolojia za kiwango cha juu bado ni za watu wachache au sasa zinakuwa za kila Mkenya? na je, ufadhili wa vifaa vya...
05/06/2026

Je, teknolojia za kiwango cha juu bado ni za watu wachache au sasa zinakuwa za kila Mkenya? na je, ufadhili wa vifaa vya teknolojia unaweza kuwafanya Wakenya wengi zaidi kumudu teknolojia za kisasa nyumbani?

Sikiliza Kaya Flavaz tukizungumzia mustakabali wa teknolojia ya nyumbani, ufadhili wa bidhaa na jinsi ubunifu unavyofikia familia nyingi zaidi nchini Kenya kwa hisani ya Samsung.

Samsung

05/06/2026

Radio Kaya Live

Wanafunzi wa shule ya upili ya Mang’u waagizwa kurejea nyumbani baada ya taharuki kushuhudiwa jana saa moja usiku shulen...
05/06/2026

Wanafunzi wa shule ya upili ya Mang’u waagizwa kurejea nyumbani baada ya taharuki kushuhudiwa jana saa moja usiku shuleni humo. Hii ni kulingana na bodi ya usimamizi wa shule hiyo.

Yaliyojiri magazetini siku ya leo.
05/06/2026

Yaliyojiri magazetini siku ya leo.

Karibuni Voroni Enehu uchikala naswi Beatrice Dama Kahindi  na Jilani Wa Mbura .        Sikiza kuchirira www.radiokaya.c...
05/06/2026

Karibuni Voroni Enehu uchikala naswi Beatrice Dama Kahindi na Jilani Wa Mbura .




Sikiza kuchirira www.radiokaya.co.ke || 93.1 Fm Msa || 99.7 FM Malindi || 94.9 FM Kilifi || 94,9 FM LungaLunga.

Mtetemo ukiwa nami Kadi Lugwe hadi saa kumi asubuhi.Nipe request yako?          Sikiliza kupitia www.radiokaya.co.ke
04/06/2026

Mtetemo ukiwa nami Kadi Lugwe hadi saa kumi asubuhi.
Nipe request yako?







Sikiliza kupitia www.radiokaya.co.ke

Karibu ndani Chika chika ukiwa na Chikoyokoyo Tunaenda nalo kirhunba style hadi saa nane usiku.      Sikilizakupitia www...
04/06/2026

Karibu ndani Chika chika ukiwa na Chikoyokoyo

Tunaenda nalo kirhunba style hadi saa nane usiku.





Sikilizakupitia www.radiokaya.co.ke || 93.1 Fm Msa || 99.7 FM Malindi || 94.9 FM Kilifi || 94,9 FM LungaLunga

Address

172
Kwale
254

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when RADIO KAYA posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to RADIO KAYA:

Share