SIFA 101.1 FM Lamu

SIFA 101.1 FM Lamu Speaking Hope in Lamu County

Hujambo Msikilizaji, karibu tukuelimishe,tukuhabarishe na tukuburudishe.
26/03/2025

Hujambo Msikilizaji, karibu tukuelimishe,tukuhabarishe na tukuburudishe.


Je,unategea ukiwa wapi?
25/03/2025

Je,unategea ukiwa wapi?


Concerns have been raised about the increasing No. Of CSOs in Lamu.Madam Kawthar Famau, Coordinator MUHURI (Lamu) will b...
16/03/2025

Concerns have been raised about the increasing No. Of CSOs in Lamu.
Madam Kawthar Famau, Coordinator MUHURI (Lamu) will be in studio SIFA 101.1 FM Lamu
As we discuss the role of CSOs and their impact to the community.
Tune in on Monday 8:00-9:00AM for the Live Talk Show.

.

Good Morning and Happy Furahi-Day, Today's bold headlines on the local dailies
14/03/2025

Good Morning and Happy Furahi-Day, Today's bold headlines on the local dailies


Mjadala kuhusu kiini cha ongezeko la mimba za mapema katika kaunti ya Lamu.Je, suluhisho ni lipi?  SIFA 101.1 FM Lamu  S...
07/03/2025

Mjadala kuhusu kiini cha ongezeko la mimba za mapema katika kaunti ya Lamu.
Je, suluhisho ni lipi?


SIFA 101.1 FM Lamu SIFA 107.7 FM VOI

Takwmu zinaonesha kuwa, suala  la mimba za mapema bado no donda sugu katika kaunti ya Lamu. Tunakosea wapi? Kipi kifanyi...
06/03/2025

Takwmu zinaonesha kuwa, suala la mimba za mapema bado no donda sugu katika kaunti ya Lamu. Tunakosea wapi? Kipi kifanyike? Majaaliwa...USIKOSE!


SIFA 101.1 FM Lamu

The program officer  Land & Urban Development at  Haki Yetu Organization, Madam Munira Ali, was live  SIFA 101.1 FM Lamu...
04/03/2025

The program officer Land & Urban Development at Haki Yetu Organization, Madam Munira Ali, was live SIFA 101.1 FM Lamu discussing their work on public participation in land governance.

She was joined by Lamu county department of Land officer Mr. Rashid Mwachondo to explore community involvement, policy frameworks and how we can strengthen land management and use in the county.

La Mgambo hilo....Tusiandikie mate na wino upo.  Tukutane kesho majaaliwa, tuyadadavue.   SIFA 101.1 FM Lamu
03/03/2025

La Mgambo hilo....Tusiandikie mate na wino upo. Tukutane kesho majaaliwa, tuyadadavue.


SIFA 101.1 FM Lamu

Good Morning ladies and gentlemen; Today's bold headlines on the local dailies this Furahi-Day.Don't miss the in- depth ...
28/02/2025

Good Morning ladies and gentlemen; Today's bold headlines on the local dailies this Furahi-Day.
Don't miss the in- depth review from 7:00 am


SIFA 101.1 FM Lamu na SIFA 107.7 FM VOI

Waziri wa afya kaunti ya Lamu Dkt.Mbarak Bahjaj ameteuliwa  na hatimaye kuidhinishwa na bunge la kaunti kuwa naibu gavan...
13/02/2025

Waziri wa afya kaunti ya Lamu Dkt.Mbarak Bahjaj ameteuliwa na hatimaye kuidhinishwa na bunge la kaunti kuwa naibu gavana.

Gavana IssaTimamy alimteua Dkt. Mbarak, baada ya wawakilishi wadi kulikataa mara mbili, jina la Waziri wa kilimo James Gichu.

Nafasi ya naibu gavana wa Lamu iliachwa wazi kufuatia kifo cha aliyekuwa naibu gavana wa kaunti hii Raphael Munywa, mwaka Jana.

Tunakuenzi na kukuthamini ewe Msikilizaji na mteja wetu.  Tumezipiga hatua za ukuaji kwasababu unatusikiliza.Huku tukish...
13/02/2025

Tunakuenzi na kukuthamini ewe Msikilizaji na mteja wetu. Tumezipiga hatua za ukuaji kwasababu unatusikiliza.Huku tukisherehekea siku ya Radio duniani, tunakuomba uendelee kutusikiliza hapa SIFA 101.1 FM Lamu na SIFA 107.7 FM VOI kwa habari zenye uketo, neno la Mungu, Elimu na Burudani.
Hii ni .

Hujambo msikilizaji, Ni Asubuhi nyingine Mungu ametujaalia kuiona. Habari Kuu Magazetini Leo. SIFA 101.1 FM Lamu na SIFA...
16/01/2025

Hujambo msikilizaji, Ni Asubuhi nyingine Mungu ametujaalia kuiona. Habari Kuu Magazetini Leo. SIFA 101.1 FM Lamu na SIFA 107.7 FM VOI

Shirikisho la soka Barani Afrika (CAF) limetangaza kuahirishwa kwa michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika kwa wachezaji ...
15/01/2025

Shirikisho la soka Barani Afrika (CAF) limetangaza kuahirishwa kwa michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika kwa wachezaji wa ligi za ndani (CHAN) hadi Agosti 2025.

CAF imechukua hatua hiyo, ili kutoa muda zaidi kwa nchi za Kenya, Uganda na Tanzania kuwa na miundombinu ambayo inaendana na viwango vya CAF ili michuano hiyo iweze kufanyika.

Shirikishi hilo litaendesha droo ya mashindano hayo Jijini Nairobi, Jumatano tarehe 15 Januari 2025 saa mbili usiku (8:00pm) huku tarehe kamili ya kuanza kwa michuano hiyo mwezi Agosti 2025 ikitarajiwa kutangazwa.

Habari za Asubuhi Msikilizaji mpendwa, karibu katika
15/01/2025

Habari za Asubuhi Msikilizaji mpendwa, karibu katika

Habari:Kenya ililipa Kampuni ya ujerumani kima cha  Sh14.2 billioni.  Kampuni hiyo itachapisha noti mpya  bilioni 2.04  ...
09/01/2025

Habari:

Kenya ililipa Kampuni ya ujerumani kima cha Sh14.2 billioni.

Kampuni hiyo itachapisha noti mpya bilioni 2.04 zenye thamani Shilingi bilioni 689 pesa za Kenya.

Chapiaho hizo ni k**a ifuatavyo:

Sh50— Noti milioni 460
Sh100—Noti milioni 690
Sh200— Noti milioni 260
Sh500— Noti milioni 170
Sh1,000—Noti milioni 460

Mkuu wa Majeshi nchini Uganda, Jenerali Muhoozi Kainerugaba ambaye pia ni Mtoto wa Rais wa nchi hiyo Yoweri Museveni, am...
07/01/2025

Mkuu wa Majeshi nchini Uganda, Jenerali Muhoozi Kainerugaba ambaye pia ni Mtoto wa Rais wa nchi hiyo Yoweri Museveni, ametoshia kumkata kichwa kiongozi wa chama cha NUP, Robert Kyagulanyi (Bobi Wine). Kwenye mtandao wake wa X Muhoozi ameandika kwamba mtu pekee anayemzuia kumshughulikia Kyagulanyi ni Baba yake Rais Museveni, na kwamba hata Bobi Wine mwenyewe hilo analijua.

Kwa upande wake, Bobi Wine amesema tishio la Mtoto wa Museveni (ambaye pia ni Mkuu wa Jeshi la Uganda) la kumkata kichwa sio kitu anachokichukulia kwa wepesi hasa ikizingatiwa majaribio kadhaa ya kuondoa uhai wake. "Nakataa kutishwa na utawala wa uoga, Dunia inatazama” Ameongeza Kyagulanyi.


Muhoozi pia amewaagiza Wanajeshi na mlaka nyingine za Usalama kumk**ata Bobi Wine (hata kwa kutumia nguvu na vurugu ikiwezekana) pale tu atapomtukana yeye (Muhoozi), Rais Museveni, na Wanafamilia wote wa Museveni kwenye tukio lolote hadharani.

Siku moja baada ya kuachiliwa kwa baadhi ya vijana waliokuwa wameshikwa, hisia mseto zimeendelea kutolewa, huku serikali...
07/01/2025

Siku moja baada ya kuachiliwa kwa baadhi ya vijana waliokuwa wameshikwa, hisia mseto zimeendelea kutolewa, huku serikali ikitakiwa kuelezea aliyehusika na utakaji huo.

Wananchi pia wamewaonya viongozi dhidi ya kujipiga kifua na badala yake wahakikishe uwajibishaji umefuata sheria.

Haya yanajiri huku idara ya polisi ikijiondolea lawama kwa visa hivyo.

The bold headlines this morning. Karibu sana ndani ya Sifa Asubuhi popote ulipo.   _Show ndani ya SIFA 101.1 FM Lamu
11/12/2024

The bold headlines this morning.
Karibu sana ndani ya Sifa Asubuhi popote ulipo. _Show ndani ya SIFA 101.1 FM Lamu

Address

Lamu
Lamu

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when SIFA 101.1 FM Lamu posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to SIFA 101.1 FM Lamu:

Share