27/01/2024
Read more
chanzo cha kifo
spoke word lyrics by rovi yan
nilipenda murebo ju ya urebo
akaniuliza k**a nina nebo
ya kuwangusha tebo.
ndio nikakumbuka story ya monish na malebo.
hii maisha bila murebo inaboo.
but k**a ukona nebo
ya kumfanya awe mrebu
basi utalaza wengi tebo.
utamu wakorosho uko kwa mabibo.
najisifia kuwa na pendwa ila ukweli nilipia kupedwa.
walivyo fundi wakunyonya p**i vya nyama.
wanaroho zaki nyama. k**a auna miamala...........................