 
                                                                                                    01/10/2025
                                            ``HUYO sio mzee wangu tena.!! Ameimba tabia, am out of his silly music`` - Diana Bahati ameweka wazi
, ameachia kibao kipya SETI ambacho kwa mtazamo wa watazamaji na wasikilizaji kinaonekana kuwa cha wazi kupita kiasi (explicit). Wengine wanasema wimbo huo unakaribia kufanana na p0rnography.
Diana Bahati
PHOTO Courtesy
Turkana Finest Online Tv
                                         
 
                                                                                                     
                                                                                                     
                                                                                                     
                                                                                                     
                                                                                                     
                                                                                                     
                                                                                                     
                                         
   
   
   
   
     
   
   
  