15/04/2022
My spoken words : wasee Nina Reba nataka kuwambia,kwamba nilikutana Na Peng Mjamo njiani Nika msimamisha Nika mwambia kwamba namlike,akaniambia kwamba Mimi si mudiserve ,kusikia hivyo Nika amua kutoka mbuga,but baadaye then nili realize kwamba a man should never give up Nika amua tena kurudi kwake Kumuambia mavybze Kali moto until akawa ameingia box yangu Tayari.usisahau kitu kimoja madem wanazungusha ma guyz