23/02/2025
Ukiona uko na hizi signs😭 wewe jua hufai kupumzika, hufai kulala hata, 😏......Ukiona
1) Unaswitch off security bulb ndo usave stima.🤣
2) Unatumwa tumwa Kwa gari wengine wakiwa starehe zao😅 amka nanii😏
3) Gari yako inasema kuna mlango imefunguka lakini haikuonyeshi ni mlango gani, so lazima kila mutu aanze kugongesha gongesha ndo uconfirm😂
4) Hoteli Unaenda hazina menu, ukiingia unauliza watu maswali k**a DCI aty "Nini munauza huku?"
5) K**a Huwa unaona kupanda ndege ni kuomoka, wakati wengine wanatumia as a fast mode of transportation🤣🤣
6) K**a kitanda chako Kiko na zile stands za net ya mbu😂hizo stands zinakwambia ustand uende ukajitume zaidi🤣
7) K**a birthday gift yako ni photoshoot🤣
8) k**a wazazi wako hawajui chenye unafanyanga🤣wanaonanga ukisurvive tu😏
9) kila tym unapewa duties Kwa family gatherings🤣k**a kuchonga waaru, mandizi, 🤣🤣we hujiurumii?
10) K**a festive holidays zote hukutembelewa🤣🤣
11) Unatumia bundles za usiku 😅 unalala asubuhi k**a soja
12) k**a nyumba yako Iko na mlango mmoja🫢tofauti yako na mfungwa ni vile tu uko na funguo😂😂