
18/06/2023
Klabu ya Young Bulls kutoka mjini Malindi wameandisha ushindi mnono baada ya kuwalaza majeshi wanamaji Kenya Navy mabao 4-1.
Kwenye mtanange huo uliochezwa kwenye uga wa shule ya upili ya wavulana Malindi ambao ulishudia na idadi kubwa ya mashabiki.