
27/07/2025
'Meneja katika ubora wake' Media.
Huyu Sasa ndio meneja wa Shampuz Media k**a ulikua humjui.
Ma Style Deadly Deadly kutoka kwa Photographer wa Shampuz Media Maingi Official hehehe๐๐คฃ๐.
K**a unayepigwa picha hujaeka pose Kali, inabidi Sasa photographer ndiye anaeka Hilo pose. Yote hayo picha yako itokelezee vipoa.
Hongereni sana Wana maphoto kwa kazi poa๐๐.
Richie-the-boy