Lámúú Dē stýlïst pôêts ké

Lámúú Dē stýlïst pôêts ké My veins aren't full off blood but full of poems spoken word
víbêß
Pôétß kíñg

21/11/2024
If Tomorrow Starts Without Me (Saddest Poem Ever)When tomorrow starts without me,And I'm not there to see,If the sun sho...
17/10/2024

If Tomorrow Starts Without Me (Saddest Poem Ever)

When tomorrow starts without me,
And I'm not there to see,
If the sun should rise and find your eyes
all filled with tears for me,

I wish so much you wouldn't cry
The way you did today,
While thinking of the many things,
We didn't get to say.

I know how much you love me,
As much as I love you,
and each time that you think of me,
I know you'll miss me too.

But when tomorrow starts without me,
Please try to understand,
That an angel came and called my name,
And took me by the hand,
and said my place was ready,
In heaven far above,
And that I'd have to leave behind
All those I dearly love.

But as I turned to walk away,
A tear fell from my eye
For all my life, I'd always thought,
I didn't want to die.

I had so much to live for,
So much left yet to do,
It seemed almost impossible,
That I was leaving you.

I thought of all the yesterdays
The good ones and the bad,
I thought of all the love we shared,
and all the fun we had

If I could re-live yesterday
Just even for a while,
I'd say good-bye and kiss you
And maybe see you smile.

But then I fully realized,
That this could never be,
For emptiness and memories,
would take the place of me.

And when I thought of worldly things,
I might miss come tomorrow,
I thought of you, and when I did,
My heart was filled with sorrow.

But when I walked through heaven's gates,
I felt so much at home
When God looked down and smiled at me,
From His great golden throne.

He said, "This is eternity,
And all I've promised you."
Today your life on earth is past,
But here life starts anew

I promise no tomorrow,
But today will always last,
And since each day's the same way
There's no longing for the past.

You have been so faithful,
So trusting and so true.
Though there were times
You did some things
You knew you shouldn't do.

But you have been forgiven
And now at last you're free.
So won't you come and take my hand
And share my life with me?

So when tomorrow starts without me,
Don't thin

HUSTLE DAYSSometimes I feel like I was born aloneLike a lizard egg left to hatch on their ownA lonely wolf in the forest...
18/04/2024

HUSTLE DAYS

Sometimes I feel like I was born alone
Like a lizard egg left to hatch on their own
A lonely wolf in the forest
Losing everything but myself

And to this day I push the limit
Catching up with the world through my sweat
Hustling hard knowing it's the only way
Breaking my back to make some cent
Focused on making my life better

Everyday is my hustle day
I learned it since I was young
I've got no pillar to hold me
Am the rock to myself
That's why I hustle hard

Hustle when you own nothing today
Cause tomorrow they'll give you anything
Hustle like a dropout these days
And in future they'll call you professor of success
These are my hustling days
Lamuu The Lonely Writer, Heartbroken Kid.

Let's pray,,mangumi mateke do imekuwa sloganFaith imekuwa dropped ikawa replaced na hypocrisyPasi tym ya mass ako mtrue ...
13/02/2024

Let's pray,,mangumi mateke do imekuwa slogan
Faith imekuwa dropped ikawa replaced na hypocrisy
Pasi tym ya mass ako mtrue lakini late night yeye na maorphans wanaingiana k**a Kalai
Walai orphans do first priority do ye husema though mzee wa nyumba tym alikuwa hai hakuwai fika walai
Churches zimekuwa misleaded na tithe,zimejaa competition k**a champions league
Wanatry kupreach peace Kwa shingo wakiwa na chains,,na Wanapretend kutusaindia kubreak our chain,f**ked up
Holy spirit wanaitumia kuscum na talking in tongues do hutumika kumislead wao washirika
"God ameniongelesha,amenionyesha vision ameniambia niwashow"hiyo do slogan hutumika saana na wezi
Maskini ashapatwa na demons kuja tukuombee ,tajiri ako holy leta 10 percent uko protected
Lyn nikubwa ya tithe,pasi,fathera, reveled ni kusmile too
Christians wanaomba pastor more than God himself
God alisema our bodies ni temple yake and why are we still building churches
Najua wengi hunichukia coz I do talk about fact
Coz siyuko hapa kutalk about s*x ama kuwa furahisha that the fact
This is my way , God ashafungua yangu njia through words play
Najua nitaloose friends coz hawako ready kuhear the fact
Najua nalia,tunalia that the fact Hadi tuamue not to be misleaded again
We can never heal not until we uproot the fake roots
Lámúú Dē stýlïst pôêts ké
🌹

CHEERS🥂cheers to those of us wenye hatuna degree but still agree with me nikisemaa...to be rich sio lazima degree zii ku...
13/02/2024

CHEERS🥂

cheers to those of us wenye hatuna degree but still agree with me nikisemaa...to be rich sio lazima degree zii kukuwa rich ni akili na bidii ...and for me nilichagua usanii sababu shuleni walileta CBC.. that's why kwa hii industry ya mziki utanipata behind the mic🎤niko busy busy hata k**a sio ku-easy..you seee....

Niite tu stýlïst
@followers

  HUMANNi mrembo excess naeza nyonga na skeleton yake,Nimhot ka wasee wa kitambo naeza mstone niwake,Niki washow niko nd...
28/01/2024

HUMAN

Ni mrembo excess naeza nyonga na skeleton yake,
Nimhot ka wasee wa kitambo naeza mstone niwake,
Niki washow niko ndani mjue niko kwake,
Best chef award ipewe babake huyu dem ameiva,
Ako kwao but ni mtu na heshima zake,
Mtight kuliko shoe lace ya kipchoge akiwa race,
All eyes on her ka soprano baze,
Aki bend wanainuka respect to God's creation,
No doubt she's a product of the angel's who refused to go back to heaven because of daughters of men,
Ako fine thank you kila mtu akimcheki ana make a wish,
She is an extra human


Nimeingia kwa mtaa nimeanza kushed tearsVenye magirl child wanatreatiwa manze sio PoaKuna story nimeskia sikueza vumilia...
28/01/2024

Nimeingia kwa mtaa nimeanza kushed tears
Venye magirl child wanatreatiwa manze sio Poa
Kuna story nimeskia sikueza vumilia
Ili dem alishe familia anafaa kujisell bila ata kujihurumia

Na ukiangalia hii situation manze hakuna mtu anaifikiria not even wasamaria

Siku zote mama ni mama coz ye ndio upalilia familia
I have to do something about this juh siezi angalia

Kila siku kuna stori ya kua girl child anajitia kitanzi cos hakuna mtu amejaribu kumskia

Kuna wasee watakikujua msichana anaumia bora tu sherehe ni sheria
Na hao wanafurahia

Unapata manzi anakuza familia but akifikiria penye pesa inatoka basi analia

We are not suppose to take advantage of weak people and am sick of these people who think they can do anything even kill people

Ningependa tushikane mkono tumalize ufisadi k**a vile kuchukua hongo
Cos hii ndio inafanya madem kujiuza in the name of kutoa kitu kidogo

Ex returns 💔💔💔Ni one year now but she is back,,,, 🤔 she's  sorry,,, 🤔 she  regret doing it to me she want me back,,, 🤔💔 ...
27/01/2024

Ex returns 💔💔💔

Ni one year now but she is back,,,, 🤔 she's sorry,,, 🤔 she regret doing it to me she want me back,,, 🤔💔 she misses me,,, she ask my mum to tell me to forgive her
That time nilimshiw nampenda alikuwa ananitumia ngoma kwa xender ati "No money no love" 🎶 🎶 nikimuona ka my half aliniona fool nikaichukilia cool
Nilimpata na mubaba kejani mwangu kimwanaume nikaiona kawaida nikawa cool
Alitongoza mpaka bro yangu as if not enough alinicheat na landlord she got pregnant sikumblem mtoi tulilea na niliiona tu sawa nikawa cool
Alinigombanisha publicly venye mi ni lezy siezi kuwa mlezi all was cool

One day nilimpata ameondoka with everything this one yr nimestraggle na maisha i got my other soul amenifunza kuwa happy again but ex ako chini ya miguu yangu namshow am married but anadai ako ready to be side chick,,, 🙆🤔💔,, ako ready to be second wife,,, ni mrembo than before hagga na shape yake noma kuliko ya vera you can't buy love but yangu ako ready to purchase amenipa key ya v8 na ananipromise more nikimkubali sielewi nifanyeje uyu ex?


🌹

All you ever talked about was to sow seedWithout caring how we feedYou forced us to pay all our offering and titheWhich ...
25/01/2024

All you ever talked about was to sow seed
Without caring how we feed
You forced us to pay all our offering and tithe
Which my mother did till she died

All you did was preach the gospel for monetary gain
A priest who cares not about his members' pain
Always watch us come with empty stomach to your so called holy place
Steal from us and tell us to share the grace

I remembered when mother, gave you the last meal
Bcoz you said the prophet first.
You never pitied the poor widow,
And all her doughters and sons

I think we've eaten enough, of this fruit of deception
It's time to make things right
I think we've fed enough of your corruption
Now is your hour of demise
No more lies,
All you have to do is say your last prayer, as you look me to the eyes
This is the hour to meet your father, the devil, in the other side

The world might not see a child avenging the death of his mother
They will only see a child who committed murder.
But according to the lord's word,
If I am to kill a devil, guess I'm doing the lord's work

I usually write my bestWhen I am at my worstMy pen and my painNever left me in vainWhen I have tearsThis creativity of m...
25/01/2024

I usually write my best
When I am at my worst
My pen and my pain
Never left me in vain

When I have tears
This creativity of mine stirs
Words flow in harmony
As my chest aches in agony.

Sometimes I feel torn
If I should love or scorn
The way I choose to function
When I’m lost in my emotion.

There are days when my poetry
Feels like the output of my bravery
On some days, they’re my reminder
Of how devoid I am of laughter.

I don’t know what I am willing to lose
If between these two I have to choose
My pain that accompanies my creativity
Or my laughter without my poetry.

—teardrop

***
PS: Do not plagiarize. Please put proper credit if you will post my poem in your account.

Maishani, struggle is my second nameLaiti ungejua masangu sio mwalimuBudangu sio lazy bali ni mleziLaiti ungejua kwetu u...
25/01/2024

Maishani, struggle is my second name
Laiti ungejua masangu sio mwalimu
Budangu sio lazy bali ni mlezi
Laiti ungejua kwetu ugali ni jina, tunaskia kwa majirani
Basi hungenichukia, ungenihimiza ni kazane

Bro, hatufanani
Nenda kaulize kule kijijini
Jinsi mamangu huwaomba simu ndo anipe taarifa jinsi mambo yamemove from worse to worst.
Watakuambia babangu ni kienyeji, hajui fare ya kufika tao ni ngapi
Watakuelezea vile nilifika city nitafute capital angalau

Basi ukiniona sifanyi jinsi mnavyo fanya
Samahanini sana, ruhusa nadai
Naomba mniwache kwani maisha hayo yenu sitambui
Raha hizo zenu, kwangu ni k**a mauti

Juu, nikilegea kiasi, nyumba itawangukia wazazi na ndugu zangu
Huskii Caro ameshinda home juu ya karo
Chifu kachukua ng'ombe yetu kulipiza hustlefund ya baba
Mama naye Fuliza limit yake zero
Kwetu ni ndizi imebaki
Wataikula na kutegea kufa.
Si kwema

Ila, napambana
Nina ndoto ya kubadilisha hali kule nyumbani
Juzi nilienda kusaka job kumbe wale ni wa illuminati
Walinipromise heavens, but sitaki
Juu, heavens won't be interesting masangu akiwa chini
Heavens will be hell damu ya mzae ikinililia
Basi huko nikatoweka

Sijafa moyo
Mbele naona success
Ila masaa nyingine naona nik**a Jah anachukua upande
Mbona katuwacha namna hii
Ata k**a ni dhambi tulifanya, it's written 'we'll be washed by the Lamb's blood'
But ni sawa, Sawa inaweza tuosha na kitusafisha
Sisi pia tutakuwa watu kwa masaa yake Jalali

Support me buy just inviting your friends to follow me
I'm an upcoming poetess.... seeking for your support.

Dear God,I'm sorry nimekawia bila kukusalimia,But usiichukulie ni k**a I only come ile time nalia,But nataka tu kukubeg ...
25/01/2024

Dear God,
I'm sorry nimekawia bila kukusalimia,
But usiichukulie ni k**a I only come ile time nalia,
But nataka tu kukubeg juu watu niliamini walinyima ata mia,
So nipee tu sikio juu nimechoka kuvumilia.

You see,
My aunt alinipromise kazi after college na mm nikamwaminia,
Na design aliweka smile kwa face sikujua ningekuja hadithia,
Juu saahii ni hasira tu na blames za kifamilia,
Na hizo promises down the drain akaamua kuzifagilia.

Si ata anko alinishow nimpelekee license na promise za "I'll see what I can do"
But sasa ni k**a ashakunywa chang'aa juu bado hajawahi ona na hata simu zangu hashiki,
Na design niliona soon nikidrive gari ata ya hire,
Sasa niko busy na gari naweza afford ni mkokoteni.

Subira huvuta heri si basi heri nivute bangi,
Nichane majani at least nikue story teller si nitakua na kazi ya kupea wengine story ata k**a ni za jaba bora sitakua jobless,
Ama ata nilewe wakinokote kwa mtaro,
Ama nikue prodigal son nikalishe nguruwe at least nitashiba na left overs.
Juu design niko na hatred nishajua waliniblind fold tu,
Na "blood is thicker" ni k**a ishapata leakage ya maji.
Na nikisema nawachukia nisha fika kikomo,
But God utulinde na maneno ya mandugu wenye wivu.

Address

Maragoli

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Lámúú Dē stýlïst pôêts ké posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Lámúú Dē stýlïst pôêts ké:

Share