Shujaaz Kenya

Shujaaz Kenya Shujaaz tuna-celebrate vijana na stori zao! All about Love, relationships, biz na doh! Kuna vijana wengi wanafanya vitu major zenye ziko chini ya maji.
(1)

Shujaaz tuna-celebrate hawa vijana wote. Cheki hizi stori, na u-share stori yako pia. No topic is too hot to handle.

25/07/2025

Shujaaz TV Episode 1...action!!🎬

"Vipi wana-shujaaz,mi niko na issue ambayo inanisumbua moyo,kuna mdada tulikuwa tunapendana ila tungali pamoja lkn yale ...
25/07/2025

"Vipi wana-shujaaz,mi niko na issue ambayo inanisumbua moyo,kuna mdada tulikuwa tunapendana ila tungali pamoja lkn yale mapenzi ya awali yamekwisha,siku ananibongesha tu vile anataka yani dharau tu vile,mwanzo alinionyesha mapenzi ya kila aina,tulitembea maeneo mbalimbali yote ilkuwa ahakikishe ameutega moyo wangu na akika alifaulu,sai najarbu kuondokea story zake nashindwa,anaezakuwa online niko online lkn hatuongeleshani,saidi ya yote ni bibi ya mtu ata mi ni bw ya mtu,naeza fanya aje kuondokea story zake? Hide!"
Hawa lovers wawili wamefika mahali ni k**a feelings zimeisha, plot twist ni ati mwanaume ako na wife na dem ako na bwana! 🤯 Unaeza mjenga advice gani ndio aeze ku-sort hii issue yote?

Marafiki huniuliza mbona narudi kwake... sijui pia. Lakini naskia loneliness ni mbaya zaidi.  Wasee heri mtu akuumize am...
25/07/2025

Marafiki huniuliza mbona narudi kwake... sijui pia. Lakini naskia loneliness ni mbaya zaidi.
Wasee heri mtu akuumize ama ukue lonely ?

"Hi shujaaz...hide identity I broke up with my girlfriend last year sep and she moved on to another relationship like im...
24/07/2025

"Hi shujaaz...hide identity
I broke up with my girlfriend last year sep and she moved on to another relationship like immediately... I lost intrest in love... It's been months I see ladies not worthy not even those whom mattered when I was in a relationship... What might be the problem or is it normal.. I'lll appreciate for your advice.."
Huyu morio aliachana na mresh wake na ever since, habambwi na madem wengine. Mnaeza mjenga advice?

24/07/2025

Coming soon...

Ata mentor hujifunza along the way. Don’t wait ukue perfect, unaeza make a difference kwa maisha ya msee na story yako  ...
23/07/2025

Ata mentor hujifunza along the way. Don’t wait ukue perfect, unaeza make a difference kwa maisha ya msee na story yako

Fom iko jikoni🎬🔥
23/07/2025

Fom iko jikoni🎬🔥

K**a hujui design ya kutumia kondiko manze SemaNaMe got you, cheki tips zenye tumetoa SemaNaMe k**a unadai tips za vitu ...
23/07/2025

K**a hujui design ya kutumia kondiko manze SemaNaMe got you, cheki tips zenye tumetoa SemaNaMe k**a unadai tips za vitu k**a hizi SemaNaMe got you
ndo hii hapa https://sema-na-me.com/Kuvaa-kondiko

"Hi shujaaz Please hide my identity am 19 yrs old and kuna boy tumedate n yeye for 3 years now after nmejoin campus I me...
22/07/2025

"Hi shujaaz Please hide my identity am 19 yrs old and kuna boy tumedate n yeye for 3 years now after nmejoin campus I met another guy nkaenda kwake sleepover and we had s*x and the guy amenishow juzi ako na HIV we weren't dating with that guy ilikuwà Tu ufriend... I'm still dating my boyfriend but I'm afraid of having s*x with him pia nsimwambukize I don't know if ii should tell him the truth am really confused....I need help"
Huyu dem ako na chali but alimcheza na boy ako na HIV, kimemramba na hajui cha kufanya, help wadau

"Hi shujaaz,, please hide my identity,,I stay together my boyfriend I love him and I know he loves me too,,the problem i...
22/07/2025

"Hi shujaaz,, please hide my identity,,I stay together my boyfriend I love him and I know he loves me too,,the problem is we can't stay the whole day without fighting, after that we will end up even crying and settle our issue but this misunderstanding are becoming too much for me I don't know what to do"
Hawa wasee wawili wanapendana but vita ni k**a daily, unaeza wasaidia aje?

Imagine uchoche mbogi yako alafu ukuje upatikane? Hio aibu hapana, heri ku-keep it real always!
21/07/2025

Imagine uchoche mbogi yako alafu ukuje upatikane? Hio aibu hapana, heri ku-keep it real always!

What's your opinion on boy huomba dem wake doh?
21/07/2025

What's your opinion on boy huomba dem wake doh?

Address

Maragwa

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Shujaaz Kenya posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share