James kilonzo

James kilonzo ~Kenyan Artist
~Song Writer.
~Commedian
~SUBCRIBE

27/10/2024
Kuna wakati mwingine unafika unatakiwa ufukuzefukuze wote wasiofaa, ufukuze mazingira yasiokufaa ubaki wewe na MUNGU uta...
27/08/2024

Kuna wakati mwingine unafika unatakiwa ufukuzefukuze wote wasiofaa, ufukuze mazingira yasiokufaa ubaki wewe na MUNGU utaona jinsi Mungu atakavyowaibisha

Usikimbilie kutafuta heshima,kimbilia kutafuta unyenyekevu utakuletea heshima     ( Methali 15:33)
09/05/2024

Usikimbilie kutafuta heshima,kimbilia kutafuta unyenyekevu utakuletea heshima
( Methali 15:33)

UKIWA NA UHAKIKA NA MUNGU WAKO USI MJIBU KILA MTU ACHA MUNGU AKUTETEE
18/04/2024

UKIWA NA UHAKIKA NA MUNGU WAKO USI MJIBU KILA MTU ACHA MUNGU AKUTETEE

Zile pesa Judas Iscariot alipata alipomwuuza Yesu. Alitoa fungu la kumi. Ni kiulizo tu,
28/03/2024

Zile pesa Judas Iscariot alipata alipomwuuza Yesu. Alitoa fungu la kumi. Ni kiulizo tu,

Maneno ya watu yasikunyime Wala kukuzuia kuifikia  kesho yako na ndoto yako iliyo njema.
21/03/2024

Maneno ya watu yasikunyime Wala kukuzuia kuifikia kesho yako na ndoto yako iliyo njema.

Dec imefika na hakuna kitu nimesave. Kile nime save ni phone contact Tu. Nifanye Nini watu.
02/12/2023

Dec imefika na hakuna kitu nimesave. Kile nime save ni phone contact Tu. Nifanye Nini watu.

Wale tayari wamefika sokoni watuabie soko ikoje , Bidhaa zauzwa ghali au rahisi tufike kwa wingi.
30/11/2023

Wale tayari wamefika sokoni watuabie soko ikoje , Bidhaa zauzwa ghali au rahisi tufike kwa wingi.

Wakati mwengine unakuta kwamba watu Wanapokutizama wanaona Hauna chochote, Hila wanapokuchunguza vizuri wanakuta kwamba ...
02/11/2023

Wakati mwengine unakuta kwamba watu Wanapokutizama wanaona Hauna chochote, Hila wanapokuchunguza vizuri wanakuta kwamba umebeba Hadi Kesho Yao.

God is more than Gold and Silver.
14/10/2023

God is more than Gold and Silver.

03/06/2023

Maadili mema yaliyoabizanwa nyakati zile yalikwendapi?
Heshima na adabu ulikuwa zamani zile imo wapi, SI ajabu kumwona kijana mdogo ajibizana na MTU aliyemzidi ki umri,
SI ajabu kumwona mtu mzima akizini na kijana astailiye kumwita nyanya.
Tumor upande gani Dunia.
happy weekend.

06/02/2023

Lazima shetani ajipange upya kwa kuwa MUNGU anajibu Maombi yako hivi karibuni.

Address

Nairobi

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when James kilonzo posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share