
25/06/2025
Kalonzo Musyoka, Eugene Wamalwa, na wakili Ndegwa Njiru watembea katika eneo la Kenyatta Avenue baada ya kuweka maua nje ya Bunge kuwakumbuka waliofariki siku k**a ya leo mwaka jana wakati wa maandamano ya Gen-Z.