SIFA FM Hekima - "Sauti Ya Busara"

SIFA FM Hekima - "Sauti Ya Busara" We serve the greater Garissa County, parts of Wajir and the northern part of Tana River County. Email : [email protected] Slogan: Sauti ya Busara!

At Sifa Fm Hekima we are committed to bring out the socio-economic-development issues that are unique to this vast region. Hekima FM is a TWR-Kenya station that broadcasts to the Somali people of Kenya. We transmit in Garissa (101.1), Wajir (101.7) and Mandera (100.7) via streaming. Vision: An informed and empowered society living a wholistic life. Mission: To transform attitudes, beliefs and be

havior, bringing about lasting change. Goal: To broadcast and produce quality programmes that addresses the spiritual, Gospel and development issues in North and North Eastern regions of Kenya.

Walevi wakaziwa katika sheria mpya za kuuza na kutumia pombe.Uwezeshaji wa wanawake unaoongozwa na  naibu Rais ni ubadhi...
31/07/2025

Walevi wakaziwa katika sheria mpya za kuuza na kutumia pombe.

Uwezeshaji wa wanawake unaoongozwa na naibu Rais ni ubadhirifu wa mchana peupe

Wachungaji wahuni taabani baraza la mawaziri likipitisha mswada wa kuwanasa

Mama Suluhu;Nikiwaona nyinyi wageni mkifanya biashara fulani fulani patachimbika,Kenya yasikitishwa na ufedhuli huu.

Mzee Kaguta amiri mkuu wa majeshi na rais wa Uganda nchini humu kwa ziara rasmi ya kiserikali

'Freshers' wapoteza matumaini,Afisi za helb ni milango tu na madirisha,hamna hela.

0701709596

Familia ya Rais Kenyatta inavuna mabilioni kupitia dili ya Expressway.Walimu wataka mgao mzima wa karo lau sivyo waanze ...
29/07/2025

Familia ya Rais Kenyatta inavuna mabilioni kupitia dili ya Expressway.

Walimu wataka mgao mzima wa karo lau sivyo waanze kudai wazazi

Ujirani wa jumuiya ya Afrika mashariki wakosa ladha,utekaji nyara wakithiri Mudavadi na bosi wafumbia jicho tu.

Wanaharakati;Passaris wewe enda nyumbani.


0701709596

Seneta Mteule Crystal Asige anaonya kuhusu usaliti unaokuja katika siasa za Kenya, akitangaza kutakuwa na dalili.Je,ni k...
28/07/2025

Seneta Mteule Crystal Asige anaonya kuhusu usaliti unaokuja katika siasa za Kenya, akitangaza kutakuwa na dalili.

Je,ni kiongozi yupi unamuona huwenda akawa kigeugeu?

Rais William Ruto amewasili Addis Ababa kwa STOCKTAKE KILELE CHA PILI cha UN FOOD SYSTEMS (UNFSS+4). Alipokelewa na Naib...
28/07/2025

Rais William Ruto amewasili Addis Ababa kwa STOCKTAKE KILELE CHA PILI cha UN FOOD SYSTEMS (UNFSS+4). Alipokelewa na Naibu Waziri Mkuu wa Ethiopia Temesgen Tiruneh.

K**a kupata pesa ni shida,Kutopata pesa ni shida zaidi -   na Lion Obimbo  0701709596
28/07/2025

K**a kupata pesa ni shida,Kutopata pesa ni shida zaidi - na Lion Obimbo
0701709596

Kila Siku ya Jumapili kuanzia alasiri ni wakati wa kuzamia viwajani;Soka,Riadha,Voliboli,Raga zitaje...ndani ya SIFA FM ...
27/07/2025

Kila Siku ya Jumapili kuanzia alasiri ni wakati wa kuzamia viwajani;Soka,Riadha,Voliboli,Raga zitaje...ndani ya SIFA FM Hekima - "Sauti Ya Busara" na Kaka-Jos Jnr .

Hivi leo unazungumzia vipi maandalizi ya Chan,ujio wa Victor Gyokeres Emirates n.k.

0701709596

Idara ya upelelezi yapoteza dira na kufanya ukuruba na walio madarakani wapinzani wakionyeshwa giza.Raila;Kwa sasa nakul...
21/07/2025

Idara ya upelelezi yapoteza dira na kufanya ukuruba na walio madarakani wapinzani wakionyeshwa giza.

Raila;Kwa sasa nakula minofu mniwache mengine tutazungumza uchaguzi ukiwadia.


Masaa manne ya mseto wa habari na burudani ndani ya Changamka Breakfast na Lion Obimbo .  0701709596
21/07/2025

Masaa manne ya mseto wa habari na burudani ndani ya Changamka Breakfast na Lion Obimbo .


0701709596

GoodMorning Thursday,  tayari hewani     na mgeni wetu  .cathrenengambi mjengoni  fans
17/07/2025

GoodMorning Thursday,
tayari hewani na mgeni wetu .cathrenengambi mjengoni



fans

kipindi nambari moja hewani  naye    #0701709596
16/07/2025

kipindi nambari moja hewani
naye


#0701709596

Je, Teknolojia ni rafiki au ni adui wa ajira zetu?Ndio  mada tunayoizungumzia siku ya leo ndani ya kipindi maridadi   uk...
15/07/2025

Je, Teknolojia ni rafiki au ni adui wa ajira zetu?

Ndio mada tunayoizungumzia siku ya leo ndani ya kipindi maridadi ukiwa naye pamoja na .

Usiache kuchangia mawazo yako!

#0701709596

Shirika la Afya Duniani WHO, limeidhinisha matumizi ya dawa aina ya Lenacapavir (LEN) kwa ajili ya kukinga maambukizi ya...
15/07/2025

Shirika la Afya Duniani WHO, limeidhinisha matumizi ya dawa aina ya Lenacapavir (LEN) kwa ajili ya kukinga maambukizi ya virusi vya HIV.

LEN ni dawa inayotolewa kwa kudungwa sindano mara mbili tu kwa mwaka kuzuia maambuzi ya HIV.

Dawa hiyo imetajwa kuwa njia bora na kulinganishwa na kumeza tembe.


Address

Nairobi

Opening Hours

Monday 04:00 - 19:00
Tuesday 04:00 - 19:00
Wednesday 04:00 - 19:00
Thursday 04:00 - 19:00
Friday 04:00 - 19:00
Saturday 04:00 - 19:00
Sunday 06:00 - 19:30

Telephone

+254701709596

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when SIFA FM Hekima - "Sauti Ya Busara" posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to SIFA FM Hekima - "Sauti Ya Busara":

Share

Category