19/09/2026
đź“» MIAKA 50 IMEWEZEKANA. SASA TUJENGE MIAKA 50 IJAYO.
TWR Kenya imefikia miaka 50 ya kueneza ujumbe na kugusa maisha. ❤️ Sasa tunahitaji wewe kuwa sehemu ya sura inayofuata.
Changia leo na tusaidie kuhakikisha Neno linaendelea kuwafikia wengi zaidi.
📲 M-Pesa Paybill: 826420
📝 Account: TWRK@50
Usisherehekee miaka 50 pekee. Tusaidie kujenga miaka 50 ijayo.
TWR K- Trans World Radio Kenya