
27/11/2023
Haya baaas, hawa wawili ni among the finest I have. Hawa ata sio hidden gems. Hawa ndio gems.
Nkatha Muthoni ako na sauti tamu. Her music is healing. Yaani you cannot afford to miss her perfomance. Shaka Shaka naye poetry yake ni international. Words zake zinakuwacha na majibu mingi kushinda maswali.
With this unaezakosa kufika maeneo kweli? Hapo si utakuwa against national development?
Buy tikoo via link kwa comment section.