15/10/2025
k**a still unatetea hii ngava unafaa kujiangalia kiakili.
nilikuwa hosi meru general kutoka Jana nilikuwa naenda kufanyiwa chest CT scan, so si nikaenda kuaply SHA wasimamie hiyo scan, so the guy on the office aliniambia nilipie hili wapprove, nikamuuliza how much,akaniuliza ni ngapi Huwa nafaa kulipia nikamwambia ni 600, Akaniambia nijaribu kulipa hiyo 600. nilipoweka hiyo 600 the message I got ni "Dear HESBORN, Your SHA premium payment of Kshs 600.00 was rejected. Please pay a minimum of Ksh 7800 or pay using Lipa SHA pole pole to activate your account by pressing *147 #. Bora, Afya Nyumbani".
so nikauliza huyo jamaa na scan ni pesa ngapi akanishow ni 8000, Mimi nikatoka nikaenda coz niaje nitalipa 7,800 Kwa Sha hili wanilipie 8k,Alf kwani nilikuwa na Doo na naeda kuaply SHA.
Hii ni scam walai and nothing you can tell me.