Radio Domus

Radio Domus Welcome to Radio Domus FM! Broadcasting on 99.9FM, we're your go-to station serving Kajiado County
Listen Online: https://zeno.fm/radio/radio-domus-fm-kenya/

Alikuwa amejipanga πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
25/07/2025

Alikuwa amejipanga πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Mofayaaah friday  watu wangu .πŸ”₯πŸ”₯ Carribean flavor !!!na  OneGb iko LIVE kutoka 3pm hadi 7pm!weekend inanza na energy ya ...
25/07/2025

Mofayaaah friday watu wangu .πŸ”₯πŸ”₯ Carribean flavor !!!na OneGb iko LIVE kutoka 3pm hadi 7pm!
weekend inanza na energy ya street
Weekend Warm-Up – riddim kali, good vibes, i. Tupa stress, chukua peace – reggae ndiyo njia! πŸ‡―πŸ‡²πŸ”₯🎢
piga chill na pin your location ...
Listen Online: https://zeno.fm/radio/radio-domus-fm-kenya

πŸŽ‰   na Profesa iko LIVE kutoka 1pm hadi 3pm!Ni Rhumba Weekend Warm-Up – pale mizani inapokutana na furaha ya wikendi!Tua...
25/07/2025

πŸŽ‰ na Profesa iko LIVE kutoka 1pm hadi 3pm!
Ni Rhumba Weekend Warm-Up – pale mizani inapokutana na furaha ya wikendi!
Tuanze wikendi na miondoko ya heshima! πŸ’ƒπŸ•ΊπŸŽΆ

πŸŽ‰   na Kelly Makolo iko LIVE kutoka 11am hadi 1pm!Ni Feel Good Friday – kazi inaendelea lakini roho iko weekend mode!Bur...
25/07/2025

πŸŽ‰ na Kelly Makolo iko LIVE kutoka 11am hadi 1pm!
Ni Feel Good Friday – kazi inaendelea lakini roho iko weekend mode!
Burudika, vunjika mbavu na uingie wikendi na tabasamu! πŸ˜„πŸŽΆπŸ’ƒ

25/07/2025
Happy Furahi-Day; Today's bold headlines on the local dailies
25/07/2025

Happy Furahi-Day;
Today's bold headlines on the local dailies

Fanfriday its litπŸ”₯ ndani ya   na   unasikiza ukiwa wapi?
25/07/2025

Fanfriday its litπŸ”₯ ndani ya na unasikiza ukiwa wapi?

24/07/2025

REJECT TOKENISM: YOUTH CALL FOR POLITICAL ACCOUNTABILITY.
Are we really ready to suffer again for mere token, take a step and delete all political WhatsApp groups

πŸŒ™   na Kevin Keitany iko LIVE kutoka 7pm hadi 10pm!Ni jioni ya Kukumbuka yale ya kale.Tulia na Team Barizi – mahali pa u...
24/07/2025

πŸŒ™ na Kevin Keitany iko LIVE kutoka 7pm hadi 10pm!
Ni jioni ya Kukumbuka yale ya kale.Tulia na Team Barizi – mahali pa utulivu na mazungumzo ya hekima pamoja na mziki. πŸŽΆπŸ›‹οΈπŸ“–


Ask ChatGPT

A dialogue session focusing on Youth and Election Preparedness was held on 24 July 2025 at Lekurruki in Upper Matasia, K...
24/07/2025

A dialogue session focusing on Youth and Election Preparedness was held on 24 July 2025 at Lekurruki in Upper Matasia, Kajiado North brought together Gender Champions and Girl & Young Women (GYWs), to discuss the critical role of youth in election preparedness.
The session brought together young leaders, activists, and community advocates to reflect on how young people can effectively participate in democratic processes and ensure inclusive, peaceful elections.

Key discussion points included voter education, youth mobilization, leadership accountability, and the importance of gender inclusivity in political spaces. Participants emphasized the need to empower more young women to run for office and advocate for reforms that reflect youth concerns.
Ignite254ke

πŸŸ’πŸŸ‘πŸ”΄   Throw back edition .. na OneGb iko hewani kutoka 3pm hadi 7pm!Ni Reggae Revival Thursday –sogeza speaker karibu sk...
24/07/2025

πŸŸ’πŸŸ‘πŸ”΄ Throw back edition .. na OneGb iko hewani kutoka 3pm hadi 7pm!
Ni Reggae Revival Thursday –sogeza speaker karibu skiza hizi throw back vibes zenye zimetoa foundation ya vile tunavibe leo... πŸ‡―πŸ‡²πŸ”₯🎢

Treasury CS Mbadi announces New secondary school capitation is Sh16,900, down from Sh22,244 warns that government can’t ...
24/07/2025

Treasury CS Mbadi announces New secondary school capitation is Sh16,900, down from Sh22,244 warns that government can’t sustain free primary and secondary education.

Address

Maragwa

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Radio Domus posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Radio Domus:

Share