Radio Ashe Illeret

Radio Ashe Illeret Radio Ashe Illeret is a Christian station broadcasting from Maralal, Samburu County

Karibu sana kwenye kipindi cha   tukiangazia ufuatiliaji wa ukuaji wa mtoto na kuimarisha ukuaji wa watoto. Swali lako n...
23/05/2025

Karibu sana kwenye kipindi cha tukiangazia ufuatiliaji wa ukuaji wa mtoto na kuimarisha ukuaji wa watoto. Swali lako ni lipi?
Call /Sms 0796410000

       Naam msikilizaji, Za mchana? karibu katika kipindi   Naye Mchungaji Geoffrey Wanjala Munialo. Kipindi hiki kinaku...
14/05/2025


Naam msikilizaji, Za mchana? karibu katika kipindi Naye Mchungaji Geoffrey Wanjala Munialo. Kipindi hiki kinakufunza vitabu vya Biblia kwa undani kabisa kimoja baada ya kingine.
Tutumie ujumbe mfupi kupitia kwa 0712040010

Luka 8:48 Akamwambia Binti, imani yako imekuponya; enenda zako na amani.Kila Asubuhi ni fursa ya kuanza upya ukurasa wa ...
07/04/2025

Luka 8:48
Akamwambia Binti, imani yako imekuponya; enenda zako na amani.

Kila Asubuhi ni fursa ya kuanza upya ukurasa wa maisha yako. Kumekucha Msikilizaji! Wikendi yako ilikuwaje? Karibu tuianze wiki kwa baraka ndani ya ukiwa nami Emanuel Matano , Unategea ukiwa wapi?
Call 07 12 000014 Sms 07 12 04 00 10

Bwana Yesu Asifiwe Msikilizaji! Umeamkaje? Ni wakati wa   ya   na kwenye usukani ni Emanuel Matano  Radio Ashe-Kenya , U...
03/04/2025

Bwana Yesu Asifiwe Msikilizaji! Umeamkaje? Ni wakati wa ya na kwenye usukani ni Emanuel Matano Radio Ashe-Kenya , Unasign ukiwa wapi?
Call 07 12 000014 Sms 07 12 04 00 10

2 Wafalme 6:16 Akamjibu, Usiogope; maana walio pamoja nasi ni wengi kuliko wale walio pamoja nao.Maisha bila changamoto ...
02/04/2025

2 Wafalme 6:16
Akamjibu, Usiogope; maana walio pamoja nasi ni wengi kuliko wale walio pamoja nao.

Maisha bila changamoto ni maisha bila mafanikio. Kumekucha! Umeamkaje? Emanuel Matano tayari ashawasili mjengoni kukuandalia show bab'kubwa # , Unajiandaa kusikiliza ukiwa wapi?
Call 07 12 000014 Sms 07 12 04 00 10

Danieli 2:17,18Ndipo Danieli akaenda nyumbani kwake, akawapasha habari kina Hanania, na Mishaeli, na Azaria wenzake; ili...
17/03/2025

Danieli 2:17,18
Ndipo Danieli akaenda nyumbani kwake, akawapasha habari kina Hanania, na Mishaeli, na Azaria wenzake; ili waombe rehema kwa Mungu wa mbinguni kwa habari ya siri hiyo, ili kwamba Danieli na wenzake wasiangamizwe pamoja na wenye hekima wa Babeli.

Bwana Yesu Asifiwe Msikilizaji! Happy New Week! Ni wakati wa kunyakua baraka kwenye mpango bab'kubwa na Emanuel Matano ndani ya Radio Ashe-Kenya , Unasikiliza ukiwa wapi?
Call 07 12 000014 Sms 07 12 04 00 10

Address

Samburu County
Maralal

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Radio Ashe Illeret posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Radio Ashe Illeret:

Share

Category