
03/10/2025
*Mabeshte allooo🔥 Saturday 04th Oct hatukai block, tunaingia * Bisaros Lounge Mariakani !*
Ni *Zegede Night Na Kaka Brayo* – ile sherehe inakufanya usahau stress.
Music By DJ KEI KENYA
🎶💃.
Doors Open *4PM*
Strictly 18+ 🍾.
Weekend ni short, acha tukule vibe legit