04/01/2022
PART 6: MAZISHI YA MAPENZI
Kuenda kuinua sufuria ynye imetumika kufunika ugali nkagusa mkono wa MTU😫. Alinyamaza, nkanyamaza😊. Ghafla, akakimbia lakni hakuwa na mbio, yani alienda kw slow motion😎. Roho yngu ilkuw karbu itoke inimeze juu ya pressure nimeiweka all the term😉. Yule jamaa alipofika nje🤗, kumtazama kw umakini, kumbe alkuwa, ''MAFUTA KANONO'' mwenye huwa anapenda kuniongelesha dry😀. Roho ikaniambia ''baaaas lipiza kisasi😁'' ...Nkatulia ndani ya jikoni ncheki ataenda wapi🤔. Kw bahati mzuri akaenda direct kuelekea kw choo.
Coz sikutka anijue, nlivalia kininja😎, yani nlibaki tu na boxer, ungekutana na mm ungedhani mm ni nightrunner🙄. Nlipofika pale kw choo nkamfungia ndani silently then nikasonga kando nione vile gaidi katajisadia this time round😛. Alipojarbu kufungua mlango alipigwa na shock, akaanza kupumua mrefu k**a mimi kwa zile episodes za MAZISHI YA MAPENZI🤓.... ''Aki woiye nihurumie, nfungulie mlango,'' Mafuta kanono alisema. Nkameza mate kisha nkamwambia kw sauti ya juu , ''Natka uombe k**a Paulo na Sila hadi milango zifunguke!😂''
Alianza kuomba hadi nkamhurumia😊🙏, nkamfungulia. Naye alipotoka nje aliniambia asante na kuniita ''MHESHIMIWA.''
MAFUTA, alienda kulala mm nkarudi jikoni kuenda kuconfirm ile sembe😁. Kufika jikoni nkaifinyanga ile ugali na supu ya cabbage hadi tumbo ikasema 'tosha kw leo.' Nlipomaliza kukula ilkuw like saa tano usiku. Akili naye ni nani?🤔 ikaniambia 'enda teachers-quaters uko ndio dem wako ako.' Naye mm ni nani nikatae kuenda na niko na drspell😅.
Nakwambia, nlivalia kinyasa fulani hapo nlkuw nimeificha mahali, kisha nkaelekea hadi kw base huyo modee wa English hulala☺.
Nlipofika🤔, nkabisha mlango mara kumi ndio akaamka kufungua. Alishangaaa kuona babes wake uko na tna usiku🤔. Nlimdanganya kw kumwambia, ''Nlitka kukusurpise😋, coz juzi nlkuw om. Nkatravel pande hii jana kw anko yngu🤗...nkakutana na modee fulani kw center leo asubuhi nkajarbu kumuuliza huwa wew unalala wapi😃.'' Baada one, two, one, two dem akaniamini coz mm ni BAZU na dem ananipenda😍. Nakwambia dem alkuw amedungia kamini skirt kengne black, shape ya haga ikajichora smart😋. Wcha hta haga, kifuani alkuw amebeba sharp pointed t**s 90• kando😯. Alkuw na shape ya kihuddah huddah hivi🙂...yani ule urembo wa aina yake. Saa hizo skuw na shirt🤗 ..nlitka ajionee janadume yenywe alivyobeba😁💪. Huku mzee mfupi alikuw amesimama tu na kiherehere yake😩 (Mafans huyu mchezaji hta hawezi kungoja uwanja ifyekwe??). Sikuw najiamini tna coz ya ile dry spell nlkuw nayo😎, ni kitu leventeen years ago 😁😁 nkihave sex😬.
Sisi hao ndan ya nyumba🤓. Tuliangaliana kwa mda kisha aka smile na kuniambia🤓 "aki nimekumiss". Akilini nlkuwa najiambia 🤐, "hii kitu ntalima mpka chini ya parent rock🙄 yani lazma nmwage mpka na damu😆" Saa hizo dem amenshika begani, nafeel tu ni k**a za heaven zimenshika✌. Dem kaniuliza, ''Babe hii shule nafunza inaitwa ST. LUKE HIGH SCH, na wew pale kw timeline yako ya Facebook umeandika ati still schooling in ST. LUKE HIGH SCH, what about it?😩😩😧🤔🤔🤔🤔🤔''
Vidole vyangu vya mikono vilitetemeka ungedhania vilkuw densiiii.....
MAZISHI tunayo, hatuna??? Tegea part 7 ya MAZISHI YA MAPENZI hapa tu kw page 👉