MUBBO Marsabit News

MUBBO Marsabit News GBMedia KE; Simple, transparent and accurate, we bring all news.

Yaballo Airport in southern Ethiopia has officially inaugurated today  top federal and Oromia regional leaders, includin...
31/08/2025

Yaballo Airport in southern Ethiopia has officially inaugurated today top federal and Oromia regional leaders, including President Shimelis Abdisa.

The new airport is expected to improve tourism and connectivity, access to Borana National Park, cutting long road journeys and driving tourism growth.

This development is part of Ethiopia’s broader aviation expansion strategy to enhance domestic travel and regional connectivity.

Kaunti ya Marsabit imepiga marufuku dhidi ya tabia tata na ya kikatili ya kulisha punda mihadarati  ili kuwaongezea nguv...
15/08/2025

Kaunti ya Marsabit imepiga marufuku dhidi ya tabia tata na ya kikatili ya kulisha punda mihadarati ili kuwaongezea nguvu na kulazimu kufanya kazi Kwa muda mrefu kinyume na sheria.

15/08/2025

Vurugu kimetokea katika kikao cha wakilishi wadi kaunti ya Kericho baada ya hoja ya kumgatua mamlakani gavana Erick Mutai kujadiliwa jioni ya leo.

President William Ruto has nominated Amb. Galma Mukhe Boru as Kenya’s High Commissioner to Ethiopia in a fresh shake-up ...
15/08/2025

President William Ruto has nominated Amb. Galma Mukhe Boru as Kenya’s High Commissioner to Ethiopia in a fresh shake-up of the Foreign Service.
The changes, aimed at boosting performance under the Bottom-Up Economic Transformation Agenda, also see new envoys and redeployments to Turkey, Thailand, Burundi, Tanzania, Ireland, and other global missions.
The nominations await parliamentary approval.

Tume ya Maadili na Kupambana na Ufisadi Kenya (EACC) imetoa ripoti mpya inayosema maafisa wa polisi ndio wanaongoza kwa ...
06/08/2025

Tume ya Maadili na Kupambana na Ufisadi Kenya (EACC) imetoa ripoti mpya inayosema maafisa wa polisi ndio wanaongoza kwa ufisadi na kutokuwa na maadili wakifuatiwa na mamlaka ya ukusanyaji mapato KRA. Ripoti hiyo iliyotolewa leo imebainisha kuwa ufisadi ni mojawapo ya visa vinavyoongoza katika sekta ya ajira nchini Kenya. EACC pia iligundua kuwa hongo inatolewa sana katika ofisi za umma, kwani Wakenya wengi wanaombwa kutoa hongo ili kupata huduma za serikali.

📷: Kiongozi Wa nchi Rais Ruto akutana Na viongozi Wa Isiolo Na Wazee wa tabaka mbali mbali kujadi swala la maendeleo kat...
23/07/2025

📷: Kiongozi Wa nchi Rais Ruto akutana Na viongozi Wa Isiolo Na Wazee wa tabaka mbali mbali kujadi swala la maendeleo katika kaunti hilo.

21/07/2025

Viongozi Wa chama cha UDM wamelaumiwa Kwa kusukuma ghurudumu ya siasa kaunti ya Isiolo wakiwemo Gavana Wa Marsabit Mohamed Ali Na Seneta Wa Mandera Ali Roba.
"Tunatambua chama cha UDA katika kaunti ya Isiolo Sio chama cha UDM "~Mumina Bonaya Mwakilishi Wa kina mama Isiolo.

JUST IN:Isiolo MCAs Meet Interior CS to Boost Peace and Development.A delegation of Isiolo County MCAs  have today met w...
21/07/2025

JUST IN:
Isiolo MCAs Meet Interior CS to Boost Peace and Development.

A delegation of Isiolo County MCAs have today met with Interior CS Kipchumba Murkomen and PS Dr. Raymond Omollo to discuss strengthening peace efforts and improving grassroots service delivery.

The talks focused on enhancing leaders’ roles in peacebuilding, creating more administrative units to increase government presence, expanding youth empowerment programmes, and fast-tracking key infrastructure projects such as security roads.

MCAs Peter Losu (Ngaremara), Halima Gole (Cherab), Meja Golicha (Chari), and Lorot Ewoton (Burat) reaffirmed their commitment to championing peace and inclusive development in Isiolo.

Sehemu ya Kikundi cha  kina mama wapatao zaidi ya 250 kutoka eneo la  kina Na Garba tulla  kaunti ya Isiolo wamenufaika ...
20/07/2025

Sehemu ya Kikundi cha kina mama wapatao zaidi ya 250 kutoka eneo la kina Na Garba tulla kaunti ya Isiolo wamenufaika kupata kititi cha shilingi milioni Saba ili kusaidia kina mama kupanua Na kuendeleza Biashara ndogo ndogo.

Ufadhili huo umetolewa na shirika lisilo la kiserikali Rangelands Sacco wakishirikiana AFD na NRT, Lengo lao ikiwa ni kusaidia kina mama kuendeleza biashara yao ili kujikimu kimaisha.

"On Monday, I will increase the number of youths on the Climate WorX ,Kazi MTAANI program from 20,000 to 40,000" ~  Pres...
17/07/2025

"On Monday, I will increase the number of youths on the Climate WorX ,Kazi MTAANI program from 20,000 to 40,000" ~ President Ruto

17/07/2025

"Hakuna atakayezidi hamri ya kortini Na ikiamuliwa upande Wangu ama upande ngine bado niko sawa Kwa hivyo ni lazima tuheshimu maamuzi ya kortini vyovyote– Hon. Abdullahi Banticha.

Drama continuous as the former Isiolo south MP Abdullahi Banticha records a video inside the county assembly chamber wit...
16/07/2025

Drama continuous as the former Isiolo south MP Abdullahi Banticha records a video inside the county assembly chamber without MCAs and calling himself "Speaker Waheed"

Address

P. O. Box 10 Marsabit
Marsabit

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when MUBBO Marsabit News posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to MUBBO Marsabit News:

Share