Radio Jangwani 106.3fm

Radio Jangwani 106.3fm This is the Official page for Radio Jangwani. Radio Jangwani is a Radio Station based in Marsabit, Kenya. This is the Giant from the North.
(1)

It is the best in the region according to KARF, blending well with our listeners. Service to humanity.

Noni Madueke has officially joined Arsenal from Chelsea, signing a 5-year deal. The transfer was facilitated by his fath...
18/07/2025

Noni Madueke has officially joined Arsenal from Chelsea, signing a 5-year deal. The transfer was facilitated by his father and agent, Ify Madueke, with Ali Barat from Epic Sports brokering the deal. Exciting times ahead for the English winger at the Gunners!

18/07/2025

Mbunge mwakilishi wa akina mama kaunti ya Marsabit Naomi Wako amesema anaweka mikakati ya kutoa ombi rasmi kwa serikali kuhusu idadi ndogo ya vijana walioandikishwa katika mradi wa kuwapa vijana ajira maarufu k**a kazi mtaani.

Akizungumza na shajara ya redio jangwani wakati wa hafla ya kutoa hema na viti kwa makundi mbali mbali katika eneo bunge la Saku, Naomi amesema kuwa idadi ya vijana 804 walioandikishwa katika jimbo la Marsabit iko chini mno ikilinganishwa na vijana zaidi ya 13,000 waliotuma maombi .

BREAKING: Bryan Mbeumo Set for Manchester United .🚨💣 In a major development, Bryan Mbeumo is on his way to Manchester Un...
18/07/2025

BREAKING: Bryan Mbeumo Set for Manchester United .

🚨💣 In a major development, Bryan Mbeumo is on his way to Manchester United! A club-to-club agreement has been reached with Brentford for a £70 million package, as reported by Contract terms were finalized weeks ago, with Mbeumo expressing a strong desire for the United move. Following the signing of Cunha, Mbeumo is the latest addition for

Idadi ya wanaofunga ndoa za kiraia na zile za Kikristo imeongezeka katika kaunti ya Marsabit.Haya ni kulingana na naibu ...
18/07/2025

Idadi ya wanaofunga ndoa za kiraia na zile za Kikristo imeongezeka katika kaunti ya Marsabit.

Haya ni kulingana na naibu kamishna wa Marsabit Central David Saruni ambaye amezungumza na shajara ya Radio Jangwani ofisini mwake.

Saruni anasema kuwa ofisi hiyo inayowakilisha msajili wa ndoa chini ya ofisi ya mwanasheria mkuu imesajili ndoa 170 za jimbo la Marsabit katika kipindi cha kuanzia Januari hadi mwezi Juni mwaka huu wa 2025.

Ukomavu wa wapigakura kidemokrasia hapa nchini ungali upo chini wengi wa wagombea wakionekana kuamini kuwa ni lazima wah...
18/07/2025

Ukomavu wa wapigakura kidemokrasia hapa nchini ungali upo chini wengi wa wagombea wakionekana kuamini kuwa ni lazima wahongane ili wachaguliwe nao wapigakura wakionekana kuamini kuwa ni haki yao kupewa hongo ili wawachague wanasiasa.

Vijana ndio walioathirika zaidi na swala hili wengi tulioongea nao mjini Marsasbit wakieleza kua sio rahisi kwao kuchagua kiongozi asiyewapa pesa wakati wa kampeni.

Wakati uo huo wengi wameeleza kuwa viongozi wengi wakishachaguliwa huwasahau wapigakura huku ahadi walizotoa kwa wananchi zikisalia historia hivyo basi kuwaacha wananchi na mzigo mzito kwani hata huduma muhimu za serikali hawazipati.

KIPCHUMBA MURKOMEN, E.G.H  has officially arrived in Maralal Town, Samburu County, as part of the ongoing Jukwaa la Usal...
18/07/2025

KIPCHUMBA MURKOMEN, E.G.H has officially arrived in Maralal Town, Samburu County, as part of the ongoing Jukwaa la Usalama tour. This visit marks the 17th county in the initiative aimed at engaging with local communities and government officials to discuss strategies for improving security, enhancing service delivery, and promoting the welfare of grassroots officers.

Accompanying him are notable figures including Internal Security and National Administration PS Dr. Raymond Omollo, Inspector General of Police Douglas Kanja, and other senior government officials.

In an interview with radio presenter Alex Mwakideu, Jalang’o expressed strong support for Babu Owino as a leading candid...
18/07/2025

In an interview with radio presenter Alex Mwakideu, Jalang’o expressed strong support for Babu Owino as a leading candidate for Nairobi governor under ODM. He asserted that even without the ODM ticket, Owino would be a significant contender. Jalang’o cautioned that if multiple strong ODM candidates, including Edwin Sifuna and Tim Wanyonyi, enter the race, they risk splitting the vote, potentially allowing a Mount Kenya candidate to win. Babu Owino responded to Jalang’o's remarks by declaring, “All our opponents are unworthy.”

Police in Eldoret have arrested a headteacher from Hill School on charges of sexually defiling four male pupils from a n...
18/07/2025

Police in Eldoret have arrested a headteacher from Hill School on charges of sexually defiling four male pupils from a nearby public school. The suspect was apprehended after officiating netball games on Sunday. The allegations involve incidents occurring between December 2024 and February 2025. Both the accused and the victims have undergone medical examinations as part of the investigation. The case is being handled by the DCI, and police are gathering evidence and statements from the victims.

President William Ruto has condemned the opposition as "clueless tribal anarchists" while announcing a plan to create 1....
18/07/2025

President William Ruto has condemned the opposition as "clueless tribal anarchists" while announcing a plan to create 1.4 million jobs aimed at Gen Z. Speaking during the Nairobi River clean-up, he criticized rivals for lacking solutions to youth unemployment and linked them to recent protests and violence. Ruto emphasized his administration's commitment to tackling joblessness through initiatives like the Climate WorX program and expanding opportunities in affordable housing.

https://youtu.be/Lgl-W0vNzds?si=iODWKDHeSZMIuKfrVisa vya unajisi vinazidi kuongezeka katika kaunti ya Marsabit asema hak...
18/07/2025

https://youtu.be/Lgl-W0vNzds?si=iODWKDHeSZMIuKfr
Visa vya unajisi vinazidi kuongezeka katika kaunti ya Marsabit asema hakimu mwandamizi wa mahak**a ya Marsabit Simon Arome.

VISA VYA UNAJISI VINAZIDI KUONGEZEKA KATIKA KAUNTI YA MARSABIT ASEMA HAKIMU MWANDAMIZI WA MAHAKAMA YA MARSABIT SIMON AROME

Salaam Aleikum🫡 Tune in to Osimwerer Show with jimmy irma ...listen live at www.radiojangwani.com
18/07/2025

Salaam Aleikum🫡 Tune in to Osimwerer Show with jimmy irma ...listen live at www.radiojangwani.com


 : Taarifa kuu magazetini Ijumaa. Tegea kipindi 7-10am kwa uchambuzi zaidi.
18/07/2025

: Taarifa kuu magazetini Ijumaa. Tegea kipindi 7-10am kwa uchambuzi zaidi.



Address

Marsabit

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Radio Jangwani 106.3fm posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Radio Jangwani 106.3fm:

Share