26/08/2026
We! imagine kiongozi anasimama mbele ya watu anasema hospitali Haina dawa Kisha na maana hile pesa ilikuwa imetengwa kununua dawa , ilitumika kufence matanity ndio watoto wasiibiwe.
"Imagine eti heri watu wakufe na sukari na pressure Bora hospitali iwekwe seng'eng'e "
Hon. Benjamin Mukaria Njilu