
30/03/2024
A Teeberg Gemini script Behold! Niko na zogo It’s about time we put everything in light Kwa nyakati hizi tata twahitaji mwanga Kunao kajiita ma-vicker Magwanda ya zabarau Mikufu na mapambo ya dhahabu Kasri za kifalme, maisha ya kifalme vilevile Isitoshe mji kati ya milima saba Kwa hao niko na zogo Usiniite mzushi, la hasha, si uzushi kamwe; Mi mpole na mamangu mpendwa, kanifunza maandili…...
A Teeberg Gemini script Behold! Niko na zogo It’s about time we put everything in light Kwa nyakati hizi tata twahitaji mwanga Kunao kajiita ma-vicker Magwanda ya zabarau Mikufu na mapambo ya dhaha…