06/08/2026
Naskia koromaya aka asante kokoto wamejam juu Pyramids wamewaita Kenyan Gorilla🤣🤣🤣
By the way, ni sura za fans wao ndio zimefanya wakaitwa Gorilla ama which parameters did the Pharaohs use to call our shemeji? 😁😁😁😁😁 Kwani wanafanana n'a Gorilla? 🙈🙈