28/07/2026
Unajua tu vizuri mtu ameoa halafu wewe na kichwa yako kubwa unakubali kumdate!
Unajua vizuri akona bibi na unakubali kumfungulia miguu thinking ataacha bibi yake ju ya twa twa!
Unakubali kutumiwa vibaya ndiyo upewe "life poa" na bwana ya mtu... Unasahau hawezi acha bibi yake for a desperate soul like you.π€π
Mwanaume anakwambia hapendi bibi yake ni wewe anapenda na unakubali! ππ
Halafu mtu akikufa what gives you the effrontery kusema mlikuwa na affair?
Ukiwa side chic hauna right... Wewe ni kamaliar... Umekubali kutumiwa vibaya ju ya posh life π€£π€£π€£
Hustle na upende kula pesa umejitafutia... Hautajipata ukientertain mabwana za watu siz!
Ladies tujiheshimu bana! Protect your fellow woman... Don't date a married man!