Joli Media

Joli Media JOLI PRODUCTIONS Welcome to the content cartels headquarters network. this is a home of creative minds, dealers in ART and ENTERTAINMENT.

Call or WhatsApp +254707269581

10/06/2026

Duh! 🙆‍♂️

09/06/2026

Very very very Unfortunate

Mishakiki na Mutura pale Kwa Mwangi twala daily kumbe behind the scene Mwamba ywatucheza Gadamet!
08/06/2026

Mishakiki na Mutura pale Kwa Mwangi twala daily kumbe behind the scene Mwamba ywatucheza Gadamet!

07/06/2026

Inasemekana ni Mwizi wa simu

05/06/2026

Skia...

04/06/2026

AJALI MBAYA!!

Watu kadhaa wamethibitishwa kufariki dunia baada ya Nganya kupinduka wakati dereva akidaiwa kufanya maonyesho ya uendeshaji (show off) k**a ilivyo kawaida kwa baadhi ya magari hayo.

Kwa masikitiko makubwa, gari hilo liliripotiwa kuwaangukia vijana waliokuwa wakining’inia mlangoni, na kusababisha vifo na majeraha mabaya katika ajali hiyo iliyotokea Barabara ya Enterprise, mkabala na Benki ya KCB.

Taarifa za awali zinaeleza kuwa ajali hiyo huenda ilisababishwa na mchezo wa maonyesho ya hatari uliokuwa ukiendelea kabla ya gari kupoteza mwelekeo.

Mungu azilaze roho za marehemu mahali pema peponi na kuwapa nafuu majeruhi.

01/06/2026

KARIBU KANISANI.
Hapa Ndio pale unaambiwa kosa uchekwe.

07/04/2023

Wishing you all a blessed and holy Easter!

23/08/2022

Take your business to the next level, Attract more clients
We are here to boost your Marketing experience,
Tell us about your business and we will help you reach more clients

Address

Mombasa, Mikindani
Mombasa

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00
Sunday 10:00 - 15:00

Telephone

+254755499056

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Joli Media posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Joli Media:

Share