Dira Michezo

Dira Michezo Kwa habari za kina na mahojiano yanayo kufahamisha mengi ya michezo,mashinani hadi ughaibuni fuatilia ukurasa huu.

Ratiba ya Robo Fainali ya Voliboli Kwa Wanawake Afrika.
30/08/2026

Ratiba ya Robo Fainali ya Voliboli Kwa Wanawake Afrika.

Raundi ya Mtoano 16 bora inaendeleq leo....Nani Atatoboa Robo Fainali?
30/08/2026

Raundi ya Mtoano 16 bora inaendeleq leo....Nani Atatoboa Robo Fainali?

Msimamo wa Ligi Kuu Tanzania baada ya michuano ya Wikendi Hii...
30/08/2026

Msimamo wa Ligi Kuu Tanzania baada ya michuano ya Wikendi Hii...

Kenya Police Bullets imetinga Fainali ya CECAFA baada ya kuwanyeshea Yei Joint Stars ya Sudan Kusini 5-0 kwenye mchuano ...
29/08/2026

Kenya Police Bullets imetinga Fainali ya CECAFA baada ya kuwanyeshea Yei Joint Stars ya Sudan Kusini 5-0 kwenye mchuano wa nusu Fainali.

Kwa sasa watachuana na Kawempe Muslim Ladies wa Uganda kwenye Fainali.

Kenya wameifungisha virago Nigeria 3-0(25–21 | 25–17 | 25–15) kwenye mechi ya raundi ya 16 bora mashindano ya Voliboli K...
29/08/2026

Kenya wameifungisha virago Nigeria 3-0(25–21 | 25–17 | 25–15) kwenye mechi ya raundi ya 16 bora mashindano ya Voliboli Kwa Wanawake Afrika katika uga wa Kasarani Nairobi.

Wenyeji walitawala mchezo huo licha ya ugumu wake na kuwalima wawakilishi hao wa Afrika Magharibi.

🇰🇪 KENYA 3–0 NIGERIA 🇳🇬
Set Scores:

Mabingwa Watetezi KPA wanawake wameizamisha Equity na Kuendeleza Rekodi yao Nzuri ya Kutofungwa....
29/08/2026

Mabingwa Watetezi KPA wanawake wameizamisha Equity na Kuendeleza Rekodi yao Nzuri ya Kutofungwa....

Nani Atatinga Fainali ya Cecafa Football ?
29/08/2026

Nani Atatinga Fainali ya Cecafa Football ?

Mechi za leo Raundi ya Mtoano 16 bora...Nani Atatoboa?
29/08/2026

Mechi za leo Raundi ya Mtoano 16 bora...Nani Atatoboa?

Mechi ya leo....
29/08/2026

Mechi ya leo....

Msimamo wa Makundi ya Mashindano ya Voliboli Kwa Wanawake Afrika baada ya mechi za makundi.
27/08/2026

Msimamo wa Makundi ya Mashindano ya Voliboli Kwa Wanawake Afrika baada ya mechi za makundi.

Address

Mombasa
80100

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Dira Michezo posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share