Mama Haki Tv Mombasa

Mama Haki Tv Mombasa Social Platform that Promotes Young Leadership ,Youth Empowerments & Women Empowerments.

Leo saa 9pm - 11pm Hon Miraj Abdillah  atakuwa anazungumzia Hali ya Taifa pale ndani ya RADIO RAHMA  91.5FM.Unakosaje Ku...
31/01/2024

Leo saa 9pm - 11pm Hon Miraj Abdillah atakuwa anazungumzia Hali ya Taifa pale ndani ya RADIO RAHMA 91.5FM.

Unakosaje Kusikiliza kwa mfano!!!

Leo Mama Haki Foundation na Ofisi ya Seneta Maalum imekamilisha uhamasishaji wa Mradi wa Mtoto asome Initiative kupitia ...
27/01/2024

Leo Mama Haki Foundation na Ofisi ya Seneta Maalum imekamilisha uhamasishaji wa Mradi wa Mtoto asome Initiative kupitia njia ya Radio.

Mda wa maombi hayo utakamilika siku ya jumatatu saa kumi Alasiri hivyo kwa yeyote ambae hajaweza kutuma ombi lake afanye hivyo kabla muda kutamatika.

Uhamasishaji wa Ombi hilo ulianzia Sauti ya Pwani FM, Baraka FM, Radio Salaam na Radio Rahma na Mitandao mengineyo ya kijamii.

Kufikia sasa takriban Wanafunzi 200 wameweza kujisajili kuomba ufadhili wa Masomo wa Shule ya Upili kupitia Wakfu wa Mama Haki Foundation, nawe pia usiachwe nyuma jisajili kupitia link au kiungo hii.

https://forms.gle/u6DDUqbqDg6jZxPr6




Kesho Jopo la Mtoto Asome Initiative  kutoka ofisi ya Hon Miraj Abdillah  litakuwa ndani ya RADIO RAHMA 91.5 FM na mida ...
26/01/2024

Kesho Jopo la Mtoto Asome Initiative kutoka ofisi ya Hon Miraj Abdillah litakuwa ndani ya RADIO RAHMA 91.5 FM na mida ni ile ile 8am-9am.



Team ya Mama Haki Foundation na ofisi ya Seneta Maalum Hon Miraj Abdillah  kesho itakuwa ndani ya kipindi cha KAULI YAKO...
25/01/2024

Team ya Mama Haki Foundation na ofisi ya Seneta Maalum Hon Miraj Abdillah kesho itakuwa ndani ya kipindi cha KAULI YAKO pale ๐Ÿ“ป RADIO SALAM FM Mombasa.

Usikose kutegea kuanzia Mida ya 8am-9am ili ufahamu mengi kuhusu Mradi wa Mtoto Asome Initiative โœ๐Ÿฝ



Ikiwa leo tunahidhimisha siku ya Elimu Duniani ofisi ya Seneta Maalum Hon Miraj Abdillah  inaomba kuwakumbusha kwamba ja...
24/01/2024

Ikiwa leo tunahidhimisha siku ya Elimu Duniani ofisi ya Seneta Maalum Hon Miraj Abdillah inaomba kuwakumbusha kwamba jana tulizindua rasmi Fomu ya usajili ya mradi wa Mtoto Asome Initiative awamu ya pili kupitia LINK

Mtoto Asome Initiative ni mradi ambao umelenga kuwalipia karo wanafunzi werevu ambao hadi sasa hawajajiunga na shule walizoitwa kutokana na hali ngumu ya maisha.

Kwa Mtoto yoyote aliyefanya vizuri kwenye mtihani wake wa KCPE mwaka 2023 anaweza kuwasilisha maombi yake kwa kubonyeza Link๐Ÿ‘‡๐Ÿฝ
https://forms.gle/u6DDUqbqDg6jZxPr6





ุงูŽู„ู„ู‘ู‡ูู…ูŽู‘ ุจูŽู„ูู‘ุบู’ู†ูŽุง ุฑูŽู…ูŽุถูŽุงู†Allahumma Ballighna RamadanOh Allah, let us reach the month of Ramadhan.Juma Kareem!
11/01/2024

ุงูŽู„ู„ู‘ู‡ูู…ูŽู‘ ุจูŽู„ูู‘ุบู’ู†ูŽุง ุฑูŽู…ูŽุถูŽุงู†

Allahumma Ballighna Ramadan

Oh Allah, let us reach the month of Ramadhan.

Juma Kareem!



Hon Miraj Abdillah ni kiongozi ambae nitaendelea kumpigia upatu katika kila jambo kwa sababu ya yale anayoyafanya katika...
11/01/2024

Hon Miraj Abdillah ni kiongozi ambae nitaendelea kumpigia upatu katika kila jambo kwa sababu ya yale anayoyafanya katika jamii.

Ni nadra sana kupata kiongozi wa UMRI WAKE na tena WAKIKE anafanya yale anayoyafanya ,wangapi waliteuliwa MIAKA ya NYUMA na wakafanya japo nusu ya yale ambayo Mama Haki amefanya?

Most of the Nominated Leaders ujificha wakala mishahara yao bila kutaka kujua Matatizo yanayoikumba jamii yake ila imekuwa tofauti kwa Mama Haki ukilinganisha na umri wake.

Mtoto wa watu amekuwa mstari wa mbele kuchangia hoja mbali mbali katika bunge la senate na pia kuwasilisha miswada kwa faida ya jamii yake ,amebuni mpango wa kusaidia watoto kimaskini kupata elimu bora "Mtoto Asome " initiative na mengine mengi...

Mama Haki ni zaidi ya kiongozi na ndio maana 2027 niko tayari kumpatia kura yangu k**a SENATOR wa Mombasa.

๐Ÿ’š๐Ÿ’›๐Ÿ’š๐Ÿ’›


Absolutely ๐Ÿ’ฏ I here by concur with you
10/01/2024

Absolutely ๐Ÿ’ฏ I here by concur with you

Address

Coast Province
Mombasa
80100

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mama Haki Tv Mombasa posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share