Kamali Writers

Kamali Writers Digital media platform for content creation, blogs, trending news & online marketing
(1)

03/06/2026

Deport all Kenyans living in the US but kenyans have refused the Ebola facility in Laikipia 😭

03/06/2026

Previous years mlikiwa mnasema students wanaogopa mitihani ya trials sijui mock, now we are in CBC hizi mambo zinaendelea ni kafara

Huyu ndiye governor wa kipekee kambaland amefanya zuri inayoonekana na wananchi hao wengine ni siasa tu.
03/06/2026

Huyu ndiye governor wa kipekee kambaland amefanya zuri inayoonekana na wananchi hao wengine ni siasa tu.

03/06/2026
Viongozi wengine katika serikali hawana njia mwafaka ya kutuliza hasira za wananchi ama kuwashawishi kukubali mpango wao...
03/06/2026

Viongozi wengine katika serikali hawana njia mwafaka ya kutuliza hasira za wananchi ama kuwashawishi kukubali mpango wao badala ni maneno yenye kukera zaidi.

Hapa tusindanganyane kuna msaliti, hiki kikundi hawafiki 2027 pamoja, kwa maana hata Rigathi Gachagua amesema kuna mmoja...
02/06/2026

Hapa tusindanganyane kuna msaliti, hiki kikundi hawafiki 2027 pamoja, kwa maana hata Rigathi Gachagua amesema kuna mmoja ambaye anatoa siri zao kwa serikali! Nani huyo?

Viongozi wengine Ukambani hawana ata nguvu ya kujiombea kura kutoka wananchi, kiongozi anatengeneza poster akiweka tu pi...
02/06/2026

Viongozi wengine Ukambani hawana ata nguvu ya kujiombea kura kutoka wananchi, kiongozi anatengeneza poster akiweka tu picha ya kalonzo anachanguliwa basi kalonzo pate urais akose shauri yake, pia wengine hamtetei anashambuliwa kisiasa. Kamali Writers

02/06/2026

Ni jambo la maana kishukuru Mungu kwa kila siku ametuongezea, lakini sisi kila saa, sekunde pia siku tunakimbizana na utafutajibwa mali pia kuibia wezetu nani aliwajuza hilo isipokuwa muasi Mungu ambaye ni shetani na wamfuatao kwao ni motoni. GOOD MORNING

Address

Likoni-lunga Lunga/Road
Mombasa
80110

Telephone

+254714434437

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kamali Writers posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share