28/12/2025
Na vile anapenda ku-hug miti 🌳😂
alipelekwa tour Dubai, jiji la mchanga na majengo marefu.
Lakini kwa mtu anapenda ku-hug miti, si angepelekwa Amazon forest basi?
Aone miti, aikumbatie, asikie mapigo ya asili,
sio kupigana na jua na saruji kila kona 😄
Safari nzuri ni ile inaendana na roho ya mtu,
sio tu kupiga picha za kusema nilifika.
Kyti media network ~ connecting minds creating influence.