
21/08/2025
Take me baaaack tuko live
Presenter Derick Omondi Presenter Derick Omondi yuko mjengoni Kuanzia 1PM-4PM
Masaa matatu ya burudani🔥🔥
Tukuchechezee ngoma gani ya zamanii?
MADA: HIVI NI SAWA WAZAZI KUMTAFUTIA MTOTO WAO MKE AU MUME
📱 what'sup/sms:0748521332
🎧Skiza live zeno.fm/radio/youthpower