17/07/2023
# Ma Life ..Usikukose kila siku muondelezo wa hii story👍👍....Kua apo mwanzo maisha yalikua na mtazamo wa kipekee wala sikujua yalikua yanajenga nyenzo ya kuvunja daraja za macho yangu na kuniacha nikiwa na machozi 😭ya hasira.Sawa nakumba umri mdogo wa miaka mitano tu nilishajua nini kiini cha kua duniani.La si kuitwa kiumbe tu bali kiumbe mpambanaji haswa Lakini hili halikua tatizo ila kuishi miaka kumi na tano bila kuijua sura ya baba yangu na wala picha ya taswira yake ....😭😭😭Yea apo nilikua tu najua jina Baba kulitamka japo iliniuma ila sikua na uwezo wa kutaka kuuliza mengi kumuhusu kwani unaambiwa kilicho chako kingojee ata kwa miaka elfu moja K**a nichako Basi kitarudi.lakini Mimi nilichoka kusubiri😭😭 niliamua kwenda 🚶🚶kumuliza Bibi yangu kuhusu wazazi wangu.Alichonijibu Bibi kiliumiza maradufu kuliko uchungu wa uzazi💔 .."Mju kuu wangu wazazi wako walikwisha tangulia mbele za haki"😭😭😭Niliishiwa na nguvu kwani nilidhani nuru yangu ilikua imafika kumbe ndo linizidi kuongezewa kiza kwenye maisha yangu ambayo Sasa yalikua K**a ramani ya maisha ya maskini yasiyo kua n mchoraji 😭😭maridhawa ivyo Basi happy niliona mwisho ulikua umefika.💔💔Usiku nilipigana kwa ndoto na machozi ya huzuni kwani hakuna ambaye alikua amenitobolea ukweli wa siri hii n nzito💔💔😭😭Nilishinda na kuendelea n usiku huo ilibidi niamke na kuamua kuchukua jukumu la kutoa uhai wangu😭😭😭Nilikunywa sumu Kali....Mungu wamajabu hakutaka mwenye uwezo alishinda zidi ya jabali shetani aliyetaka kuzikatisha ndoto zangu na kizazi changu kwani licha ya kuitumia sumu ile Kali ambayo huweza kumkatisha mtu roho kwa muda wa nusu saa💔 mungu kupitia moja ya wajomba zangu alitoka nje usiku huo na aliposikia sauti yenye mtu mwenye 😭😭maumivu makali hutoa,alipitiliza mbio K**a risasi na alipofika chumbani mwangu alishtuka 😯😱🤭😯kunikuta nikigaragara kitandani huku mapovu yakinitoka kinywani 🤮🤤🤤,aliangua kilio kuitisha usaidizi kutoka kwa majirani Lakini kutokana n mshtuko aliokua nao sauti pia ilishindwa kutoka 🤐,hakika K**a angelipoteza ata sekunde moja ningalikua mauti😥😥 leo Bali alichukua dharura na kunipatia maziwa ambayo yalinisaidia sana😑😑.Alipiga siku kwa moja ya kituo cha afya kuitisha usaidizi wa gari la wa gonjwa mahutihuti🚑 Lakini hakufua dafu. Aliponitizama aliona kabisa ulikua mwisho wa mjomba wa lee bronze 💔🤤kwani mwili ulikua umelegea hata mapigo ya moyo yalisimama..Alichukua jukumu la kunibeba uo usiku wa manane adi dhahati moja ilikua karibu😯.Tulipofika dhahanati 💔 ...