30/12/2025
Huenda hujui mbona umefail 2025🤔
Umekua mtu wa kujieleza saana,
Kujitetea,
Kugombana mnoo....
☝️☝️Response k**a hii huzidi kuumiza kichwa badala ya kukupa suluhu na faraja.
Haya basi achana nayo hayo yote maana tiari mwaka umeisha na
2026 ndo yabisha hodi....
Nkushauri tu,👇
kwa kila gumu,changamoto masimango matusi kudharauliwa na mengine yote ya kusemesha mwachie 🙏
Mungu
akujibie,
akulipizie kisasi,
akunenee na akutendee Wepesi katika hayo yote.....n mweza wa yote.
👈new gospel banger by Chipp Charly,
Dropping on 👉4/01/2026👈
Mark the date
Go to my youtube channel👇
https://youtube.com/?si=fwe_5v3-ScLg9orE
Subscribe na ukae mkao wa kusubiri mazuri🙏