E-Report Digital

E-Report Digital Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from E-Report Digital, News & Media Website, Mombasa.

Hapa ndipo utakapojua kuwa dunia ina maajabu na viwango vyake! Huko nchini Uholanzi, mambo yamechukua mwelekeo wa kipeke...
22/08/2026

Hapa ndipo utakapojua kuwa dunia ina maajabu na viwango vyake! Huko nchini Uholanzi, mambo yamechukua mwelekeo wa kipekee baada ya baadhi ya manispaa na mashirika ya huduma kuruhusu fedha zitumike kugharamia huduma za kimapenzi. Si mchezo, raia wenye ulemavu wanaweza kupata ruzuku hii ya serikali kulipia huduma hizo hadi mara kumi na mbili kwa mwaka!

โ€‹Lakini subiri kwanza kabla hujasafiri kwenda hukoโ€”sio kwamba ni sheria ya moja kwa moja ya nchi nzima; taratibu hizi zinatofautiana kulingana na mkoa, mtoa huduma, na hali halisi ya mtu binafsi. Stori hii imeteka vichwa vya habari duniani kote kwasababu ya historia ya Uholanzi ya kuwa huru zaidi kwenye masuala ya ngono na ukahaba ulioruhusiwa kisheria, mambo ambayo nchi zingine hata ukijaribu kuongea bungeni utatimuliwa!

ligi ndio kwanza inafunguliwa lakini mambo yameshaanza kuwa magumu upande wa Old Trafford! Yaani Manchester United wamet...
22/08/2026

ligi ndio kwanza inafunguliwa lakini mambo yameshaanza kuwa magumu upande wa Old Trafford! Yaani Manchester United wametua uwanjani kwa kujiamini, lakini wametoka wakiwa wameshika vichwa baada ya kuchapwa 2-0 safi na Hull City!โ€‹Yaani wiki ya kwanza tu ya Ligi Kuu na Mashetani Wekundu wameshaanza kutupa presha mashabiki wao. Hii ni slow puncture au ndio msimu mpya wa vituko tena?

Ukitoka nje hivi, sanamu za simba ziko kila mahali. Zinageuza geti la serikali, zinalinda hoteli za kifahari, zimekaa kw...
22/08/2026

Ukitoka nje hivi, sanamu za simba ziko kila mahali. Zinageuza geti la serikali, zinalinda hoteli za kifahari, zimekaa kwenye mahekalu na hadi kwenye majumba ya matajiri. Yaani simba wamekuwa alama kuu ya ujasiri na ufalme kwa maelfu ya miaka, hata kwenye nchi ambazo hazijawahi kuwa na simba hata mmoja wa asili!

โ€‹Lakini sasa, huu ndio ukweli mchungu unaoshtua: Simba wa damu na nyama, wale halisi wa porini, wamebaki chini ya 25,000 tu barani Afrika nzima! Idadi yao imekatika nusu ndani ya miongo michache iliyopita sababu ya watu kuchukua ardhi yao, ujangili, na kukosa chakula.

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
05/06/2026

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

๐Ÿ”ฅ SIASA ZA MLIMA KENYA ZAZIDI KUPAMBA MOTO!Martha Karua amemjibu vikali Rigathi Gachagua akisema hana mamlaka ya kuitwa ...
31/05/2026

๐Ÿ”ฅ SIASA ZA MLIMA KENYA ZAZIDI KUPAMBA MOTO!

Martha Karua amemjibu vikali Rigathi Gachagua akisema hana mamlaka ya kuitwa "kingpin" wa Mlima Kenya, akisisitiza kuwa hakuna mtu mmoja anayemiliki kura au uongozi wa eneo hilo.

Karua amesema umaarufu wa kisiasa hauwezi kuchukua nafasi ya uchaguzi wa wananchi, huku akidai kuwa Gachagua amefaidika zaidi na mazingira ya kisiasa yaliyopo kuliko uungwaji mkono wa moja kwa moja kutoka kwa wapiga kura.

Je, unakubaliana na Martha Karua kwamba hakuna kingpin wa Mlima Kenya kwa sasa, au unaamini Rigathi Gachagua ndiye kiongozi mkuu wa eneo hilo?

๐Ÿ‘‡ Toa maoni yako. ๐Ÿ‘ Like ๐Ÿ”„ Share ๐Ÿ’ฌ Comment

31/05/2026

TUKIO LA AJABU! Wanakijiji Wakabiliana na Chatu Baada ya Kumeza Mbuzi...

31/05/2026

"Mimi ni Mwizi k**a Ruto" says a man identified as kiprop after getting a tough beating for stealing bags of sugar In a local factory.

MCHAMBUZI WA MASUALA YA KISIASA JOAKIM SIMIYU ASEMA..."The day it will be confirmed that we have one case of Ebola infec...
31/05/2026

MCHAMBUZI WA MASUALA YA KISIASA JOAKIM SIMIYU ASEMA...

"The day it will be confirmed that we have one case of Ebola infection here in Kenya, America will be the first to ban Kenyans from traveling there."

Kauli hiyo imekuja wakati mjadala kuhusu maandalizi ya Ebola na ushirikiano kati ya Kenya na Marekani ukiendelea kushika kasi.

โ“ Je, unakubaliana na mtazamo wake?
๐Ÿ’ฌ Toa maoni yako hapo chini.

๐Ÿšจ DCI YAMKAMATA ADEK TATU!TikToker huyo ak**atwa baada ya kauli zake kuhusu mkasa wa moto wa Utumishi Girls zilizozua ha...
30/05/2026

๐Ÿšจ DCI YAMKAMATA ADEK TATU!

TikToker huyo ak**atwa baada ya kauli zake kuhusu mkasa wa moto wa Utumishi Girls zilizozua hasira kubwa miongoni mwa Wakenya.

๐Ÿ•Š๏ธ Moto huo uligharimu maisha ya wanafunzi 16.

SENETA WA NAIROBI EDWIN SIFUNA ASEMA..."Wakora wameshindwa kutatua malaria lakini wanapretend experts wa Ebola. For the ...
30/05/2026

SENETA WA NAIROBI EDWIN SIFUNA ASEMA...

"Wakora wameshindwa kutatua malaria lakini wanapretend experts wa Ebola. For the right price, Ruto will even sell us to the devil. Kicking him out will solve 80% of our problems."

Kauli hiyo imeibua mjadala mkali kuhusu maandalizi ya Ebola na uongozi wa serikali.

Je, unakubaliana na kauli ya Sifuna?
๐Ÿ’ฌ Toa maoni yako hapa chini.

Address

Mombasa

Telephone

+254738613437

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when E-Report Digital posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to E-Report Digital:

Shortcuts

Share