E-Report Digital

E-Report Digital Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from E-Report Digital, News & Media Website, Mombasa.

😂😂
05/06/2026

😂😂

🔥 SIASA ZA MLIMA KENYA ZAZIDI KUPAMBA MOTO!Martha Karua amemjibu vikali Rigathi Gachagua akisema hana mamlaka ya kuitwa ...
31/05/2026

🔥 SIASA ZA MLIMA KENYA ZAZIDI KUPAMBA MOTO!

Martha Karua amemjibu vikali Rigathi Gachagua akisema hana mamlaka ya kuitwa "kingpin" wa Mlima Kenya, akisisitiza kuwa hakuna mtu mmoja anayemiliki kura au uongozi wa eneo hilo.

Karua amesema umaarufu wa kisiasa hauwezi kuchukua nafasi ya uchaguzi wa wananchi, huku akidai kuwa Gachagua amefaidika zaidi na mazingira ya kisiasa yaliyopo kuliko uungwaji mkono wa moja kwa moja kutoka kwa wapiga kura.

Je, unakubaliana na Martha Karua kwamba hakuna kingpin wa Mlima Kenya kwa sasa, au unaamini Rigathi Gachagua ndiye kiongozi mkuu wa eneo hilo?

👇 Toa maoni yako. 👍 Like 🔄 Share 💬 Comment

31/05/2026

TUKIO LA AJABU! Wanakijiji Wakabiliana na Chatu Baada ya Kumeza Mbuzi...

31/05/2026

"Mimi ni Mwizi k**a Ruto" says a man identified as kiprop after getting a tough beating for stealing bags of sugar In a local factory.

MCHAMBUZI WA MASUALA YA KISIASA JOAKIM SIMIYU ASEMA..."The day it will be confirmed that we have one case of Ebola infec...
31/05/2026

MCHAMBUZI WA MASUALA YA KISIASA JOAKIM SIMIYU ASEMA...

"The day it will be confirmed that we have one case of Ebola infection here in Kenya, America will be the first to ban Kenyans from traveling there."

Kauli hiyo imekuja wakati mjadala kuhusu maandalizi ya Ebola na ushirikiano kati ya Kenya na Marekani ukiendelea kushika kasi.

❓ Je, unakubaliana na mtazamo wake?
💬 Toa maoni yako hapo chini.

🚨 DCI YAMKAMATA ADEK TATU!TikToker huyo ak**atwa baada ya kauli zake kuhusu mkasa wa moto wa Utumishi Girls zilizozua ha...
30/05/2026

🚨 DCI YAMKAMATA ADEK TATU!

TikToker huyo ak**atwa baada ya kauli zake kuhusu mkasa wa moto wa Utumishi Girls zilizozua hasira kubwa miongoni mwa Wakenya.

🕊️ Moto huo uligharimu maisha ya wanafunzi 16.

SENETA WA NAIROBI EDWIN SIFUNA ASEMA..."Wakora wameshindwa kutatua malaria lakini wanapretend experts wa Ebola. For the ...
30/05/2026

SENETA WA NAIROBI EDWIN SIFUNA ASEMA...

"Wakora wameshindwa kutatua malaria lakini wanapretend experts wa Ebola. For the right price, Ruto will even sell us to the devil. Kicking him out will solve 80% of our problems."

Kauli hiyo imeibua mjadala mkali kuhusu maandalizi ya Ebola na uongozi wa serikali.

Je, unakubaliana na kauli ya Sifuna?
💬 Toa maoni yako hapa chini.

🏆 PSG WAANDIKA HISTORIA!Paris Saint-Germain imefanikiwa kutetea ubingwa wa UEFA Champions League baada ya kuibuka na ush...
30/05/2026

🏆 PSG WAANDIKA HISTORIA!

Paris Saint-Germain imefanikiwa kutetea ubingwa wa UEFA Champions League baada ya kuibuka na ushindi wa penalti 4-3 dhidi ya Arsenal katika fainali iliyochezwa Budapest.

🔥 PSG sasa ni klabu ya pili pekee katika enzi ya Champions League kutwaa taji hilo mara mbili mfululizo.

🗣️ "Timu hii ya PSG itatajwa k**a moja ya timu bora zaidi kuwahi kutokea."

Je, unaiona PSG ya Luis Enrique k**a moja ya timu bora zaidi kuwahi kutokea Ulaya?

🔥 "SI CHA WAMAREKANI PEKEE!"Aden Duale avunja ukimya kuhusu kituo cha Ebola cha Laikipia baada ya mjadala mkubwa mtandao...
30/05/2026

🔥 "SI CHA WAMAREKANI PEKEE!"
Aden Duale avunja ukimya kuhusu kituo cha Ebola cha Laikipia baada ya mjadala mkubwa mtandaoni.

Waziri huyo anasema kituo hicho ni kwa Wakenya wote na ni sehemu ya maandalizi dhidi ya tishio la Ebola.

👉 Unaamini maelezo yake? 💬 Toa maoni yako hapa chini.

Address

Mombasa

Telephone

+254738613437

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when E-Report Digital posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to E-Report Digital:

Share