24/12/2025
ILIKUWA WATUKUMBUSHE JAMANI π€£π€£ Mchambuzi wa mpira wa miguu katika mechi ya Botswana vs Senegal alisema kwamba golikipa anastahili kuwa Mchezaji Bora wa Mechi. Aliongeza kuwa k**a si yeye, mechi hiyo ingekuwa imeisha k**a ile ya kirafiki ya Kenya vs Senegal iliyoisha 8β0 β kumbukumbu ya kuumiza kwa Wakenya. π
Ilituuma ila tulizoea