Amiba Online Media Ke

Amiba Online Media Ke Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Amiba Online Media Ke, Digital creator, Mombasa.

To be a leading digital platform promoting effective leadership, transparency, and good governance, strives to highlight the dedication and relentless efforts of leaders who work towards uplifting communities.

Mombasa Assembly Grills County Over Evictions Despite Ardhi FundMombasa, Kenya – August 18, 2025The Mombasa County Assem...
20/08/2025

Mombasa Assembly Grills County Over Evictions Despite Ardhi Fund

Mombasa, Kenya – August 18, 2025
The Mombasa County Assembly on Tuesday engaged in heated debate after Members of County Assembly (MCAs) raised concerns over ongoing evictions of residents despite the passage of the Mombasa County Ardhi Fund Regulations.

The Fund, anchored on Article 43(b) of the Constitution, is meant to promote access to adequate housing, safeguard marginalized communities, foster equitable land ownership, and address historical land injustices through community-led dispute resolution mechanisms.

Hon. Juma Manuari questioned whether the current allocation of KES 50 million for land acquisition was sufficient, arguing that the figure falls far short of what is required to effectively tackle the county’s land crises.

He cited the landmark Waitiki land settlement in Likoni, where former Governor Hassan Joho worked closely with the national government to secure lasting solutions for thousands of families. Manuari urged Governor Abdulswamad Nassir to pursue similar high-level collaboration to prevent further displacements.

“The KES 50 million allocation cannot meet the scale of the challenge. Without robust partnership with the national government, we risk repeating the same cycle of evictions,” Manuari told the Assembly.

The session ended with MCAs calling for urgent action to operationalize the Fund and prioritize the protection of vulnerable communities, particularly those living under the threat of eviction by absentee landlords.

Mbunge Mishi Mboko Aibana Wizara Kuhusu Mtongwe, Feri Mpya na Barabara ya Dongo KunduNairobi – Mbunge wa Likoni, Mheshim...
20/08/2025

Mbunge Mishi Mboko Aibana Wizara Kuhusu Mtongwe, Feri Mpya na Barabara ya Dongo Kundu

Nairobi – Mbunge wa Likoni, Mheshimiwa Mishi Mboko, ameomba Wizara ya Uchukuzi kutoa maelezo ya kina kuhusu miradi muhimu ya usafiri inayoathiri wakazi wa Likoni na Pwani kwa ujumla.

Akizungumza bungeni leo, Mbunge huyo alitaka serikali kueleza ratiba kamili ya ujenzi wa njia ya pili ya kupakia na kushusha abiria katika kivuko cha Mtongwe, akisema barabara hiyo ni muhimu kwa maelfu ya wakazi wanaotegemea usafiri wa baharini kila siku.

Mbunge Mboko pia aliitaka Wizara kutoa tarehe rasmi za ukarabati wa feri mbili ambazo kwa sasa hazitumiki, akibainisha kuwa hali hiyo imekuwa kero kubwa kwa wananchi wanaohitaji usafiri wa haraka na salama.

Aidha, alitaka serikali kufafanua k**a mchakato wa ununuzi wa feri mpya umeanza, akiongeza kuwa wananchi wamekuwa wakiahidiwa jambo hilo kwa muda mrefu bila utekelezaji wa moja kwa moja.

Kuhusu barabara ya Dongo Kundu, ambayo imekamilika lakini bado haijazinduliwa rasmi, Mbunge huyo alisisitiza haja ya kupata taarifa wazi kuhusu lini itafunguliwa kwa matumizi ya wananchi.

“Wakazi wa Likoni na maeneo ya Pwani wanahitaji majibu ya kweli, si majibu ya jumla yasiyo na muda wala mpangilio wa utekelezaji,” alisema Mboko.

Mbunge huyo ameahidi kuendelea kufuatilia masuala hayo hadi pale hatua thabiti zitakapochukuliwa na wananchi kuanza kupata huduma bora za usafiri.


MVWAKANI STIMA YAWASHWA RASMI Umeme ni rasilimali muhimu sana kwa maendeleo ya jamii yoyote. Kupitia stima, biashara hus...
19/08/2025

MVWAKANI STIMA YAWASHWA RASMI

Umeme ni rasilimali muhimu sana kwa maendeleo ya jamii yoyote. Kupitia stima, biashara hustawi, usalama huimarika, na maisha ya wananchi hubadilika kwa kasi. Ndiyo maana tukio la kuwashwa kwa stima katika maeneo ya Shonda na Mvwakani, Kata ya Shikadabu, limekuwa historia mpya inayofungua ukurasa wa maendeleo.

Kwa muda mrefu wakaazi wa Shonda na Mvwakani walikuwa na kilio cha kukosa stima. Changamoto hii iliathiri shughuli za kila siku na kuchelewesha maendeleo ya kijamii na kiuchumi. Hata hivyo, kilio hiki kilibebwa na Mbunge wa Likoni, Mhe. Mishi Mboko, ambaye alihakikisha sauti ya wananchi inasikika bungeni na hatua zinachukuliwa.

Jana, Waziri wa Nishati alitembelea Mvwakani na kuthibitisha rasmi kuwa tatizo hili limepatiwa suluhu. Kwa sasa, mitaa ya Shikadabu na Mvwakani inang’aa kwa mwanga wa umeme – ishara ya mwanzo mpya kwa wananchi.

Umeme Maana Yake ni Maendeleo

Kuwashwa kwa stima kunaleta fursa nyingi kwa jamii:

Biashara kufanyika kwa urahisi – wajasiriamali sasa wanaweza kutumia vifaa vya kisasa na kuongeza kipato.

Usalama kuimarika – taa za mitaani zitasaidia kupunguza uhalifu.

Elimu kusonga mbele – wanafunzi wana nafasi ya kusoma nyakati za usiku.

Maendeleo ya mji – maeneo haya sasa yako tayari kupokea uwekezaji zaidi.

Shukrani Kwa Uongozi Thabiti

Wananchi wa Shikadabu na Mvwakani wana kila sababu ya kusherehekea hatua hii kubwa. Hii ni ushahidi kuwa uwakilishi wa kweli mashinani huleta matunda yanayoonekana. Tunapenda kumpongeza Mhe. Mishi Mboko kwa juhudi kubwa na moyo wa kupigania wananchi wake.

Leo, Shikadabu na Mvwakani zinaangaza – sio tu kwa mwanga wa stima, bali pia kwa mwanga wa matumaini na maendeleo.

Heko kwa Mbunge Mishi Mboko – kazi kubwa umeifanya, na wananchi wako wanashuhudia matunda yake!

Uongozi wa Ahadi: Likoni MP HON. MISHI MBOKO  Empowers Arts and Sports with KSh 400,000 – Amani Arts (100,000), Flash Ar...
15/08/2025

Uongozi wa Ahadi: Likoni MP HON. MISHI MBOKO Empowers Arts and Sports with KSh 400,000 – Amani Arts (100,000), Flash Arts (100,000), Premium Arts (100,000), Guard Force FC (100,000)

MCA Present . Juma Manuari

09/08/2025
09/08/2025

Šeško is official 👏🏽
Rate Manchester United transfer window….

Šeško is official Red 👏🏽Manchester United Manchester United - Manchester Evening News
09/08/2025

Šeško is official Red 👏🏽
Manchester United
Manchester United - Manchester Evening News

I absolutely love what United is doing,Not only with the infrastructure but also bringing the team together in various w...
08/08/2025

I absolutely love what United is doing,

Not only with the infrastructure but also bringing the team together in various ways.

From the meticulous recruitment process of coach and players and other recent developments, you get the feeling as a fan that there's more cohesion, and a sense of direction as to what the club is trying to achieve.

We're not merely papering the cracks of decisions not gotten right from years back, we're now moving with a clear plan.

Sir Jim, Berrada, Wilcox, and the other heads on board are giving us reason to believe again.

The best part is when all these begins to translate to on-field performances.

Manchester United Peoples Person

🎉 Just completed level 3 and am so excited to continue growing as a creator on Facebook!
07/08/2025

🎉 Just completed level 3 and am so excited to continue growing as a creator on Facebook!

💣 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Benjamin Sesko is now a Man United playerDone deal 𝐂𝐎𝐍𝐅𝐈𝐑𝐌𝐄𝐃
07/08/2025

💣 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Benjamin Sesko is now a Man United player

Done deal 𝐂𝐎𝐍𝐅𝐈𝐑𝐌𝐄𝐃

07/08/2025

🚨 𝗕𝗥𝗘𝗔𝗞𝗜𝗡𝗚 : Brighton have placed a £90 million price tag on Carlos Baleba, with potential add-ons worth £10 million, whereas Manchester United are looking at offering £70 million 💰🔴

Baleba is allegedly set to ask Brighton to lower their valuation as per reports 📉🤑

29/03/2025

Address

Mombasa
80100

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Amiba Online Media Ke posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share