
30/06/2025
Leo natakâ kuwachanua mapema,
K**a wewé ni mwanaumé alafu siku moja ufike kwako na wageni then mké apike chakulâ yenye chumvi nyingî kimakosa,usishaout eti
"Mama kasongô ebu kuja hapa mbona unanihaibisha na wageni, mbona umeeka chumvi nyingî kwa chakulâ "🙄Noooo
Fanya ivi ukiona wageni wanaangaliana ni k**a wanacommunicate using sign language,onja chakulâ chako ,ukipata chumvi ni nyingi ambiâ mama Kasongô akuletee chumvi alafu uongeze kidogo kwa chakulâ chako alafu ulize wageni wako pia k**a wanataka chumvi, automatically wanasema wako Sawa
By doing this utakuwa umeokoa ndoa yako,wageni watatoka wakijua kumbé Baba Kasongo ndo anapendâ chumvi nyingî ndo maana mke wake huweka nyingi kwa chakulâ.Hawatasema mke wako hajuî kupika
In short,kwa ndoa kila mtu anaficha uchî wa mwenzaké,do not shout at your wife infront of your visitors,unamuaibisha , wageni wakishatoka mtajipata mnaangaliana tu na mnacheka yaani unaokoa mwenzako then mnarekebishana
BE A WISE MAN.
K**a hujanifollow kwa haya yote basi hunipendi Thee Elite