
10/10/2025
Gavana wa Kaunti ya Taita Taveta, Andrew Mwadime, ameongoza uzinduzi wa zoezi kubwa la kuchanja mifugo katika kaunti hiyo, likilenga kulinda mifugo na kuibadilisha Taita Taveta kuwa eneo huru lisilo na magonjwa ya mifugo ili kuboresha upatikanaji wa masoko. Akizungumza wakati wa uzinduzi wa Mpango w...