KBRU MEDIA

KBRU MEDIA We are a dedicated team of content creators and a reliable source of information

24/02/2025

Hamjambo! Yani kimya chote hamnitafuti mniulize naendeleaje niwaambie naumwa mnitumie hela.. 😁

Wanayosema kuhusu okra ni kweli ama ni chocha tu
18/04/2024

Wanayosema kuhusu okra ni kweli ama ni chocha tu

K**a hataki kuuza si aseme tu!.
14/04/2024

K**a hataki kuuza si aseme tu!.

Face2Face akiwatumbuiza mashabiki wake.. Sasa hii inatia moyo kuona vijana wakipewa jukwaa ili kuonyesha uwezo wao.
10/04/2024

Face2Face akiwatumbuiza mashabiki wake.. Sasa hii inatia moyo kuona vijana wakipewa jukwaa ili kuonyesha uwezo wao.

Lazima kieleweke..
09/04/2024

Lazima kieleweke..

Mimi na wewe tukijitolea ipasavyo kupeana sapoti kwa wasanii wetu wanaoinukia, tutagundua kuwa mashinani vipaji vipo ni ...
01/04/2024

Mimi na wewe tukijitolea ipasavyo kupeana sapoti kwa wasanii wetu wanaoinukia, tutagundua kuwa mashinani vipaji vipo ni sisi ndio tunawaangusha..

Msanii shupavu wa Kanda ya pwani Mangi Safaree ameachilia wimbo wa CHECK kwenye mtandao wao wa Jacugaz Music..
25/03/2024

Msanii shupavu wa Kanda ya pwani Mangi Safaree ameachilia wimbo wa CHECK kwenye mtandao wao wa Jacugaz Music..

Hunywi pombe, sigara huvuti, hupendi wanawake, huendi ibada na hela pia huna.... si bure umerogwa wewe!.
24/03/2024

Hunywi pombe, sigara huvuti, hupendi wanawake, huendi ibada na hela pia huna.... si bure umerogwa wewe!.

Hongera!. Kwake Muigizaji kendrick Mulamwa! Kwa kujinunulia gari lake la kwanza aina ya Mercedes Benz E250..
21/03/2024

Hongera!. Kwake Muigizaji kendrick Mulamwa! Kwa kujinunulia gari lake la kwanza aina ya Mercedes Benz E250..

Salamu kutoka Haiti..
21/03/2024

Salamu kutoka Haiti..

Tunaarifiwa kuwa tiktoker Brian Chira ameaga dunia kupitia ajali ya barabarani..
16/03/2024

Tunaarifiwa kuwa tiktoker Brian Chira ameaga dunia kupitia ajali ya barabarani..

Leo ni furaha kwa Betty kyalo, marafiki, wafuasi na familia yake ikiwa anasherehekea kufikisha siku 12775 (35yrs) ulimwe...
15/03/2024

Leo ni furaha kwa Betty kyalo, marafiki, wafuasi na familia yake ikiwa anasherehekea kufikisha siku 12775 (35yrs) ulimwenguni,

Nasi tunamtakia heri njema ya kuzaliwa. 🎂

Address

Mombasa

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when KBRU MEDIA posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to KBRU MEDIA:

Share

Category