PWANI FM

PWANI FM Coastal Radio station.. Kenyas best!!
(1)

HARMONIZE ampiga dongo DIAMOND "Hakuna anayeweza kukuibia kofia yako k**a wanakupenda kweli"
11/12/2023

HARMONIZE ampiga dongo DIAMOND "Hakuna anayeweza kukuibia kofia yako k**a wanakupenda kweli"

ALIKIBA atoa MILIONI 5 kwa ajili ya PROFESSOR JAY.
11/12/2023

ALIKIBA atoa MILIONI 5 kwa ajili ya PROFESSOR JAY.

On Air Now To 2Pm -Furahia mziki wa Taarab nami TK Timah Mshenga Kisasa na ujifunze upishi wa wali wa kukaanga.  ukiwa w...
06/12/2023

On Air Now To 2Pm
-Furahia mziki wa Taarab nami TK Timah Mshenga Kisasa na ujifunze upishi wa wali wa kukaanga.
ukiwa wapi na nani?

06/12/2023

KIWINGU - Tabia gani inayokukera au kukuudhi mtaani au katika maeneo ambayo unafanya shughuli zako?

UCHAMBUZI WA MAGAZETI NA SWALA NYETI 6am - 9am ukiwa nami Fundi Bengo.Kumekucha!Umeamkaje?Unategea ukiwa wapi?
06/12/2023

UCHAMBUZI WA MAGAZETI NA SWALA NYETI 6am - 9am ukiwa nami Fundi Bengo.
Kumekucha!
Umeamkaje?
Unategea ukiwa wapi?

  unawakilisha ukiwa wapi
05/12/2023

unawakilisha ukiwa wapi

Ni njia gani rahisi za kumtoka mtu ambae umechoka kuwa nae katika mahusiano?
05/12/2023

Ni njia gani rahisi za kumtoka mtu ambae umechoka kuwa nae katika mahusiano?

  Kura yako kwa nani? VOTE!! VOTE!! VOTE!!1. ECHO254-MAPEPO2.ZIKY MTANAH FT KELECHI - MIDZICHENDA3. HAPPY C - MIJIKENDA ...
05/12/2023

Kura yako kwa nani?
VOTE!! VOTE!! VOTE!!
1. ECHO254-MAPEPO
2.ZIKY MTANAH FT KELECHI - MIDZICHENDA
3. HAPPY C - MIJIKENDA GIRL
4. ADASA - KAYA
5. KAA LA MOTO - MANIPULATE
6. SUSUMILA FT KASH BIRO FT ALLY B FT ALI WALEO - ARIWE YE PAPA
7. WINTA- TUMEKIWASHA FT KIDIS
8. IYANI- DECEMBER
9. KELECHI AFRICANA- CRAZY
10. DOGO RICHIE FT MASAUTI - IN THIS LIFE

TRACKS IN WAITING
1. K.O - NTAKUJA NYUMBANI
2. CSM WAZITO - RINGA
3.NASHA TRAVIS - K**A BOSS

On Air Now To 1Pm -Furahia mziki wa Bango nami TK Timah Mshenga Kisasa. -Unazegeda na nani ukiwa wapi?
03/12/2023

On Air Now To 1Pm
-Furahia mziki wa Bango nami TK Timah Mshenga Kisasa.
-Unazegeda na nani ukiwa wapi?

Sakata rhumba nami Dj Tausi1.00 p.m- 4.00 p.m ndani ya Rhumba na Lingala mix.Tuma request yako sasa...Online: www.Pwanif...
02/12/2023

Sakata rhumba nami Dj Tausi1.00 p.m- 4.00 p.m ndani ya Rhumba na Lingala mix.Tuma request yako sasa...Online: www.Pwanifm.kbc.co.ke

Address

Mombasa

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when PWANI FM posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category