
26/09/2025
"K**a mwanachama wa zamani wa Chama cha Kisiasa cha Jubilee nimekatishwa tamaa na matamshi ya kiongozi wa Chama Uhuru Kenyatta kwa kujitangaza mwenyewe lakini aliacha machafuko ya nchi ambayo tunajaribu kurekebisha. Aliacha ufisadi, madeni ya zaidi ya shilingi trilioni 9, maendeleo yasiyo na usawa nchini, ukandamizaji wa mahak**a na utekaji nyara, CBC isiyofanya kazi na ukosefu wa chakula usioweza kuthibitiwa."Seneta Cherargei
^RZ