SYP Radio ni redio iliyo na vibe ya kipekee nchini Kenya!
(1)
25/07/2025
Katibu wa Elimu Prof. Julius Bitok asema Serikali ina fedha za kutosha kuendeleza ufadhili wa elimu ya msingi na Sekondari kwani imetenga shilingi Bilioni 700. Asema kauli ya Waziri wa fedha John Mbadi kuhusu ufadhili ilinukuliwa kimakosa.
25/07/2025
"Mimi nawaomba kwa heshima, hiyo siasa yetu tuifanye kwa amani. Iwe siasa ya kushindana na agenda ya kusaidia wananchi...tusiweke siasa za uharibifu wa mali."
NAIBU WA RAIS PROF. KITHURE KINDIKI
25/07/2025
Naibu wa Rais Prof. Kithure Kindiki amepuuzilia mbali wanaodharau zoezi la uwezeshaji ambalo amekuwa akiongoza kote nchini.
25/07/2025
CHILL AND TALK
Mtu k**a Benja afanye nini avumilie au ajitoe kabisa kwenye hesabu za familia?
25/07/2025
It's Friday, Karibu ndani ya ukiwa na Mzee Ally na , unasikiliza ukiwa wapi?
25/07/2025
Wakazi wa wadi ya Jaribuni kaunti ya Kilifi kwa mara ya kwanza wamepokea hundi ya asilimia moja ya mapato kutoka kwa wawekezaji yanayotokana na madini yanayochimbwa eneo hilo.
Shughuli hiyo imeongozwa na waziri wa madini na uchumi wa majini maarufu blue economy Ali Hassan Joho na gavana wa Kilifi Gideon Mung'aro pamoja na katibu wa wizara ya madini Harry Kimutai miongoni mwa viongozi wengine kaunti ya Kilifi.
Evans Rono anatuchanua kuhusiana na nafasi mbadala za ajira hapa ndani ya
25/07/2025
SYP Dailies on 25/07/2025
25/07/2025
Anga zinasemaje huko?
Sophia Abdhi
24/07/2025
Kocha Mkuu wa timu ya Taifa Harambee Stars Benni McCarthy akanusha Madai Kwamba Kuna Baadhi ya wachezaji wamekuwa Kambini licha ya Kutoitwa Katika Kikosi Cha timu ya taifa Cha Dimba la CHAN.
Be the first to know and let us send you an email when SYP Radio posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.
Sauti ya Pwani FM is a progressive radio station that was established in 2017 with frequencies in Mombasa 94.2FM having coverage in Mombasa, Kilifi and Kwale counties respectively. The core principle of Sauti Ya Pwani FM is based on Culture, Doctrine, Customs and Civilisation of the coastal people.
Sauti Ya Pwani FM seeks to:
路 Facilitate sustained growth and poverty reduction.
路 Promote social justice and equity.
路 Empower women, the youth and disadvantaged groups.
路 Stimulate investment in technology which ultimately improves day to day lives.
路 Ensuring that we meet and exceed satisfaction of both our listeners and clients to be the radio of choice in the Coastal region.
Tune in to Sauti Ya Pwani, Sauti Ya Ummah, 94.2FM for informative, educative and entertaining programs.