Cresta Media

Cresta Media A powerful tagline

🚨🔥 HERE WE GO! GABRIEL JESUS AMESAINI BARCELONA! 🔵🔴🇧🇷📝 Documents zimekamilika, medical imepita na tangazo rasmi linakuja...
01/09/2026

🚨🔥 HERE WE GO! GABRIEL JESUS AMESAINI BARCELONA! 🔵🔴🇧🇷

📝 Documents zimekamilika, medical imepita na tangazo rasmi linakuja hivi karibuni. 🔐

💙❤️ BARÇA WAMEPATA STRIKER MPYA! 🔥
Follow Cresta Media

🚨🔥 MICHAEL CARRICK KUHUSU USAJILI:🗣️ “Tumefanya biashara nzuri sana kwenye usajili, na tumeifanya vizuri kwa pesa tulizo...
01/09/2026

🚨🔥 MICHAEL CARRICK KUHUSU USAJILI:
🗣️ “Tumefanya biashara nzuri sana kwenye usajili, na tumeifanya vizuri kwa pesa tulizotumia.” 💰✅

🔥 “Tunatumia vizuri kila nafasi tuliyonayo. Spirit ya timu ni nzuri na wachezaji wako tayari kupigania kila mmoja.” 💪
Follow Cresta Media

🚨🤍 JOSÉ MOURINHO KUHUSU YAN DIOMANDÉ:🗣️ “Anafanya kazi vizuri sana, ni mnyenyekevu na yuko tayari kujifunza. Anaendelea ...
01/09/2026

🚨🤍 JOSÉ MOURINHO KUHUSU YAN DIOMANDÉ:
🗣️ “Anafanya kazi vizuri sana, ni mnyenyekevu na yuko tayari kujifunza. Anaendelea kukua.” 📈

🔥 Mourinho pia amesema: “Kwa sababu ya bei kubwa ya usajili, watu wanatarajia afike na kufanya maajabu mara moja. Lakini sivyo ilivyo.”

🤍 “Ni kijana… mpeni muda. Calma!” 💆🏻‍♂️
Follow Cresta Media

🚨🔥 HERE WE GO! TOTTENHAM WAMEKUBALIANA KUMCHUKUA MYKHAILO MUDRYK KWA LOAN! ⚪️🇺🇦🤝 Mudryk atajiunga na Spurs kwa mkopo wen...
31/08/2026

🚨🔥 HERE WE GO! TOTTENHAM WAMEKUBALIANA KUMCHUKUA MYKHAILO MUDRYK KWA LOAN! ⚪️🇺🇦

🤝 Mudryk atajiunga na Spurs kwa mkopo wenye buy option, lakini si lazima kumnunua.

🔥 Atakutana tena na kocha Roberto De Zerbi, aliyekuwa akimpenda tangu akiwa Shakhtar.

⚡️ Unaipa signing hii alama ngapi /10?
Follow Cresta Media

🚨 HERE WE GO! TOTTENHAM WAMEKUBALIANA KUMSAJILI TOSIN KUTOKA CHELSEA! ⚪️🔥🤝 Dili ni £7M + add-ons, huku medical ikipangwa...
31/08/2026

🚨 HERE WE GO! TOTTENHAM WAMEKUBALIANA KUMSAJILI TOSIN KUTOKA CHELSEA! ⚪️🔥

🤝 Dili ni £7M + add-ons, huku medical ikipangwa Jumanne asubuhi. 🩺

⚡️ Unaipa signing hii alama ngapi /10?
Follow Cresta Media

🌪️ LAMINE ➕ RAPHINHA 🟰 TORNADO! 💙❤️‍🔥🔥 RAPHINHA BRACE! YAMAL BRACE! 🍿⚡️Barça wamewasha moto! 🔥🔵🔴👨‍🍳 Gordon na Adeyemi na...
31/08/2026

🌪️ LAMINE ➕ RAPHINHA 🟰 TORNADO! 💙❤️‍🔥
🔥 RAPHINHA BRACE! YAMAL BRACE! 🍿⚡️
Barça wamewasha moto! 🔥🔵🔴

👨‍🍳 Gordon na Adeyemi nao wanapika!
😂🇧🇷 Gabriel Jesus akifurahia show kutoka stands!

⭐️ WHO’S YOUR MAN OF THE MATCH? 👇
Follow Cresta Media

🔥 2 GAMES. 2 GOALS. ONE STAR — BU-KA-YO SAKA! 🌶️🔴⚪️👑 SAKA DOES IT AGAIN! Arsenal walk away with another huge win, and on...
31/08/2026

🔥 2 GAMES. 2 GOALS. ONE STAR — BU-KA-YO SAKA! 🌶️🔴⚪️
👑 SAKA DOES IT AGAIN! Arsenal walk away with another huge win, and once again, Bukayo Saka leads the way! 🚀🔥

🎯 2️⃣ games | 2️⃣ goals | PURE CLASS!

⭐️ MAN OF THE MATCH? SAKA. NO DEBATE! 😮‍💨❤️
Follow Cresta Media

🚨🔥 GOAL! GOAL! GOAL! CAMELLO ANAFUNGA TENA!⚽️ Bao lake la pili! Rayo Vallecano wamepunguza tofauti! 🔙🔥Follow Cresta Medi...
31/08/2026

🚨🔥 GOAL! GOAL! GOAL! CAMELLO ANAFUNGA TENA!

⚽️ Bao lake la pili! Rayo Vallecano wamepunguza tofauti! 🔙🔥
Follow Cresta Media

🚨 HERE WE GO! HULL CITY WAMEKUBALIANA KUMSAJILI TIM IROEGBUNAM! 🟠⚫️🐅🤝 Everton wamekubali dili la €15M + €12M add-ons.🔥 H...
31/08/2026

🚨 HERE WE GO! HULL CITY WAMEKUBALIANA KUMSAJILI TIM IROEGBUNAM! 🟠⚫️🐅

🤝 Everton wamekubali dili la €15M + €12M add-ons.

🔥 Hull City wanaendelea kuwekeza kwenye vipaji vijana vyenye potential kubwa!

🐯 Unaipa signing hii alama ngapi /10?
Follow Cresta Media

🚨🔥 HERE WE GO! MANCHESTER CITY WAMEKUBALIANA KUMSAJILI ILIMAN NDIAYE! 🔵⚪️⚡️Winga huyo sasa anakaribia kujiunga na Manche...
31/08/2026

🚨🔥 HERE WE GO! MANCHESTER CITY WAMEKUBALIANA KUMSAJILI ILIMAN NDIAYE! 🔵⚪️⚡️
Winga huyo sasa anakaribia kujiunga na Manchester City, baada ya dili la Tottenham kukumbwa na changamoto.

✅ Everton wametoa ruhusa ya kuendelea na mazungumzo.
💰 Man City watalipa £65M kwa dili hilo.
🤝 Ndiaye tayari amekubali masharti, huku medical ikipangwa Jumanne asubuhi.
❌ Tottenham sasa wako nje kabisa ya mbio za kumsajili.

⚪️🇺🇦 Tottenham wataelekeza nguvu zao kwenye kumsajili Mudryk.
Follow Cresta Media

Address

Coast
Mombasa
PICS

Telephone

+254757158161

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Cresta Media posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Cresta Media:

Shortcuts

Share