31/08/2026
🕌🤝⛪ Viongozi wa Kiislamu Wamkaribisha Askofu Mkuu Mteule Dominic Kimengich Mombasa
Viongozi wa Kiislamu Mombasa wamemkaribisha Askofu Mkuu Mteule Dominic Kimengich, wakiahidi kushirikiana naye kuimarisha amani, umoja na mshikamano wa kidini.
Katika hafla hiyo, Askofu Kimengich alisisitiza umuhimu wa ushirikiano wa Waislamu na Wakristo katika kutatua changamoto za jamii kupitia mazungumzo.
Viongozi hao walimkabidhi nakala ya Qur’an na kusisitiza umuhimu wa kuheshimiana.
🗣️ “Umoja wetu ndio nguvu zetu,” amesema Munira F***j wa Coast Interfaith Council of Clerics.
👉 Soma habari kamili kupitia Baraka FM.